FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,661
Ni vile tu nimechoka kuandika ila kukusaidia kuanzia leo hii tambua ya kua HAKUNA KIRUSI CHOCHOTE KILE CHENYE DAWA , CHOCHOTE KILE
jua hilo kuanzia leo hii, mengine utaongezea mwenyewe kwa kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakutana tena baada ya drama hii kuisha,nakuhakikishia utajiona mjinga sana.Acha ujinga ww, ukitaka kupiga hesabu vzr piga death toll over recovered, kama wenye ugonjwa wote asilimia kubwa wamepata leo je???
Then kibaya ni kuwa hapa bado haujamutate unaua watu hivi
Usiongee kama mtoto wa darasa la pili, ongea kama mtu mzimaView attachment 1378298
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kirusi chochote ina dawa na tiba zake kutegemea na aina ya ugonjwa.Baada ya kutambua kwamba hakuna kirusi chochote chenye dawa,then jiulize hiyo asilimia 98 ya walioambukizwa wanaponaje.
Itendee haki akili yako.Just take few minutes to think,usikimbilie kunijibu kwanza,just think about that.
Ni Mungu tu ndio anatuokoa na majanga haya. Tuondoe wasi wasi.
sio hiyo 98% tu .. jiulize ni magonjwa mangapi ya virus yaliyoko dunian ? tena mengine ni deadly kweli kweli ... Hakuna tiba hakuna nini lakini watu wanaponaBaada ya kutambua kwamba hakuna kirusi chochote chenye dawa,then jiulize hiyo asilimia 98 ya walioambukizwa wanaponaje.
Itendee haki akili yako.Just take few minutes to think,usikimbilie kunijibu kwanza,just think about that.
Hao waliopona wameponaje?sio hiyo 98% tu .. jiulize ni magonjwa mangapi ya virus yaliyoko dunian ? tena mengine ni deadly kweli kweli ... Hakuna tiba hakuna nini lakini watu wanapona
home work, nenda kasome , utajua n kwa namna gani wataalamu wanakabiliana nayo , na pia utajua ni kwann hakuna dawa ya kirusi chochote kile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu FRANC unaweza ukatupa update nzima ya Africa kwa mataifa yote yaliyokumbwa na COVID-19UPDATE: Duniani
Mpaka sasa, visa vipatavyo 98,101 vimethibitishwa duniani kote huku idadi ya vifo vyote vilivyotokana na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) ikifikia 3,386 ulimwenguni hadi hivi sasa kulingana na takwimu rasmi.
UPDATE: Barani Afrika
1. Afrika Kusini imeripoti kisa cha kwanza (1) cha COVID-19 nchini humo.
2. Misri imeripoti kisa kipya kimoja (1) nchini humo na kufikisha jumla ya visa vitatu (3) hadi hivi sasa.