Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Naungana na Deception Hao Waliopona Wameponaje MKUU Wakati tuna ambiwa yakwamba virus havina dawa kwamaana inatakiwa ukipata maradhi husika ponayako nikufa tu No More...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa sahihi, ila ungefafanua zaidi ni kwanini watengeneze drama zinazo wadhuru watu wao?

Lengo la hiyo drama ni nini?

Nan muhusika mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa sahihi, ila ungefafanua zaidi ni kwanini watengeneze drama zinazo wadhuru watu wao?

Lengo la hiyo drama ni nini?

Nan muhusika mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna baadhi ya watu linapokuja sualazima lamaslahi yaowao maadam wao hawadhuriki namaslahi yao hayatetereki basi kuuwa mtu ama watu hua kawaida sana haijalishi watuwawapi ikibidi hatawakwake watakufa tuuh.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutambua kwamba hakuna kirusi chochote chenye dawa,then jiulize hiyo asilimia 98 ya walioambukizwa wanaponaje.

Itendee haki akili yako.Just take few minutes to think,usikimbilie kunijibu kwanza,just think about that.
Mafua yanasababishwa na nini?

Na wewe ukiumwa mafua unapona au hauponi
 
Kwa uelewa wako uliwahi sikia kuwa UKIMWI ni ugonjwa au ni hali? na mtu mwenye ugonjwa au hali hiyo anapougua kinachotibiwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi Niugonjwa Nandio Maana Wagonjwa Wanatumia Dawa Ila Tuna Ambiwa Ukimwi Hauna Dawa Sawa Hauna Dawa Kwahio Dawa Tunazokula Kwaajili Ya Waathirika Zinamaana Ipi ?!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna baadhi ya watu linapokuja sualazima lamaslahi yaowao maadam wao hawadhuriki namaslahi yao hayatetereki basi kuuwa mtu ama watu hua kawaida sana haijalishi watuwawapi ikibidi hatawakwake watakufa tuuh.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa sahihi maana kuna conspiracy nyingi sana kuhusu hii dunia.
Mara N.W.O. mara secrety society kibao.

Ila yote kwa yote mtu ambae hatakiwi kuaminika katika dunia ya sasa ni MZUNGU.... narudia tena ni MZUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na Deception Hao Waliopona Wameponaje MKUU Wakati tuna ambiwa yakwamba virus havina dawa kwamaana inatakiwa ukipata maradhi husika ponayako nikufa tu No More...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kizuri kama ukiamua jifunza mkuu , upeo wako wa kufikiri usidhani dunia ndio imeishia hapo , siko kwenye mood ya kuandika ila nitaandika summary kwa uchache sana zikufungue kidogo , na ukitoka hapa ukasome

Kwamba hatuna dawa wala kinga ila mtu anaponaje ponaje , leo ukiugua ugonjwa wowote unaosababishwa na parasites, bakteria au worms au fangasi , unapata dawa hakuna shida .. ila upande wa virusi hua inatokea nini ??

naomba ieleweke kwanza hii ni virusi wote sio korona pekee ,sio jamii moja , virusii wote hakuna dawa, na hii husabishwa na sifa yao kuu , wanaishi mazingira yote , mfu na hai , lakn pia wana uwezo mkubwa sana wa kutengeneza resistance na mambo mengine kadhaa wa kadhaa (ukasome)

HUA KINAFANYIKA NINI SASA ENDAPO MWILI WAKO UKIVAMIWA NA VIRUSI

hua kuna counter measure zinatumika ..mfano , virusi kwa asilimia kubwa hua wanashambulia mifumo mbali mbali ya mwili , ambayo mwsho wa siku husababisha hiyo mifumo ifeli au wewe kupata magonjwa nyemelezi , so hua wanafanya nini
- Kwenye seli zako za mwili , ili ziweze pokea kitu chochote, iwe kirusi au bakteria lazima kuwepo mlango wa kuingia , milango hii huitwa receptors au protein, na kama unavyo faham , virusi hua vinafanya kazi vikiwa ndani ya seli , ..wataalamu wanacho fanya hapa , hua wanaua hizo receptors , ili kirusi kisiendelee kuvamia seli , so hapo seli zako tayari ziko salama, immune system yako inasalimika

pia , dawa ya kuwaua hatuna ila tunaweza wazuia wasiendelee ongezeka ndani ya mwili ...hatua nyingine hiyo

kuwaua hawawezi ila wanaweza wafubaza hivyo unawapunguzia uwezo wao wa kutenda kazi na kulela madhara

pia , vinanyimwa uwezo wa kuendelea kufanya madhara endapo wakitoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine

..wanatibu magonjwa nyemelezi ambayo mara nyingi ndio yanayo ua watu kwasababu kirusi kishamaliza mfumo wa ulinzi wa mwili, na mambo mengine mengi mengi... preventive measure kibao huko nje


sehemu kubwa ya vita dhidi ya kirusi inategemea wewe mwenyewe immune system yako ikoje , kama ni imara , wakafanya counter measures hizo unapona

na mambo mengine mengi mengi tuuu , nadhan kwa kias fulan nimekufungua macho ni namna gani wana dili na ebola , corona na the likes na inakuaje watu wanapona , na hata kwa vile virusi vilisivyo pona , wanapambana kuvinyamazisha kwa mifumo hii hii , hadi vitulia tulii , unaishi miaka 20 unavyo .

anyway..endelea kuungana na huyo jamaa, mnadhani upeo wenu wa kufikiri ulipo ishia basi na dunia imeishia hapo hapo , muwe na siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tushirikishe kile unachokifahamu wewe
soma hiyo comment , utapata mwanga kias fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umemuelewesha vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…