Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

nyi nanyi fateni uzi kwa mtililiko mpk chini muone
toka nipate akili sijawai ona ugonjwa wa mlipuko unaosambaa kwa kasi km huu na kuua watu wengi kwa muda mchache hivi halafu mpk ss mataifa hayajui yafanyaje
yaani
hayajui jinsi gani ya kuzuia kusambaa
hayajui hata mataifa mengne yameupata vp
hawajui tiba yake
hawajui kinga yake
na hawajui lini watapata kinga /dawa

halafu mnasema eti kawaida tu wakati hayo mafua ya ndege hayafui dafu kwa ugonjwa huu hata EBOLA cha mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kisa kipya wala kifo USA? Kumbuka hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala popo hawajaanza zaman sana na pia wala nyoka
Na kuna magonjwa yanakuwepo ila yanabadirika kutokana na evolution
Ila tatizo linakuja pale mutation inapotokea,
Ndo maana ata kuna paka mdogo na paka Simba
Magonjwa haya hivi vijidudu vinabadirika kutokana ja evolution kama viumbe vyote
Vinaitwq corona virus kutokana na aina ya hivi vijidudu na orijin yake yaan ni common ila aina hyo ni tofauti na vilivyozoeleka

Kakupa mfano mzr
Ni binadam wachache sana wana ebola, ila elliens wangekuwa wanakula binadam siku wakila mtu mwenye ebora (ambao ni watu wachache wenye nao) basi kizazaa kitatokea uko kwao
Same applies,
Though usemavyo napo ni possibility imetengenezwa
Hakuna ajuae


Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo, hao alliens uliwaona wapi?
Na je unauhakika gani kama alliens ni canivores?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ya hewa ya Iran ipoje? Kuna joto huko maana ile nchi sehemu kubwa ni jangwa kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Oman imeripoti visa vya kwanza viwili (2) nchini humo. Wanawake wawili waliowasili nchini humo wakitokea nchini Iran.
na OMAN kuna joto kishezi bongo haioni ndani kiasi kila nyumba bila AC hamkai ndani
sasa nataka tuone ule nadharia kwenye joto havisurvive je ni kweli !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom