Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hakika mkuuDunia inaenda kuwa tulivu kwa muda... Huku watu wakihangaika na wagonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuDunia inaenda kuwa tulivu kwa muda... Huku watu wakihangaika na wagonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa comedy saaanaNKorea hawajasema kitu ila kuna uwezekano wa 99pc kuwa upo ila wagonjwa hawapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee mama baki hukohuko, usituletee balaa sisi.Nipo hapa Nice France. Naogopa balaa.Maana Nice na Italia ni pua na mdomo. Hope nitarudi Tanzania bila maambukizo.
Mkuu hivi ni kweli kwamba huu ugonjwa hujamchukua mtu mweusi wa rangi hata mmoja,,!?? Mbona naona kama maajabuUPDATE: World
There are currently 79,716 confirmed cases worldwide, including 2,628 fatalities according to official reports.
Movie ni ya marekani mkuu inaitwa contagon 2011Nime igugo mkuu hio movie nataka baadae nkipata muda niicheki
Ila sasa naanza kupata mashaka kama huu mpango ni made in CHINA Kwenyewe Asee[emoji22][emoji22]
Kesho Kwa MUNGU Tunamengi Sana Yakujibu Tunauwana Kisa Nini Asee ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Popo wanaliwa toka Enzi na Enzi,wala tusiende mbali, Pemba tu hapo popo analiwa Hadi leo hii,
Wapemba msione aibu kulisema hili. Nimekuwa huko na nimelishudia mimi mwenyewe.
Iran
Waziri wa Afya amesema kuwa walioambukizwa ni 66 na vifo ni 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kisa kipya wala kifo USA? Kumbuka hilonyi nanyi fateni uzi kwa mtililiko mpk chini muone
toka nipate akili sijawai ona ugonjwa wa mlipuko unaosambaa kwa kasi km huu na kuua watu wengi kwa muda mchache hivi halafu mpk ss mataifa hayajui yafanyaje
yaani
hayajui jinsi gani ya kuzuia kusambaa
hayajui hata mataifa mengne yameupata vp
hawajui tiba yake
hawajui kinga yake
na hawajui lini watapata kinga /dawa
halafu mnasema eti kawaida tu wakati hayo mafua ya ndege hayafui dafu kwa ugonjwa huu hata EBOLA cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo, hao alliens uliwaona wapi?Wala popo hawajaanza zaman sana na pia wala nyoka
Na kuna magonjwa yanakuwepo ila yanabadirika kutokana na evolution
Ila tatizo linakuja pale mutation inapotokea,
Ndo maana ata kuna paka mdogo na paka Simba
Magonjwa haya hivi vijidudu vinabadirika kutokana ja evolution kama viumbe vyote
Vinaitwq corona virus kutokana na aina ya hivi vijidudu na orijin yake yaan ni common ila aina hyo ni tofauti na vilivyozoeleka
Kakupa mfano mzr
Ni binadam wachache sana wana ebola, ila elliens wangekuwa wanakula binadam siku wakila mtu mwenye ebora (ambao ni watu wachache wenye nao) basi kizazaa kitatokea uko kwao
Same applies,
Though usemavyo napo ni possibility imetengenezwa
Hakuna ajuae
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ya hewa ya Iran ipoje? Kuna joto huko maana ile nchi sehemu kubwa ni jangwa kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
na OMAN kuna joto kishezi bongo haioni ndani kiasi kila nyumba bila AC hamkai ndaniUPDATE: Oman imeripoti visa vya kwanza viwili (2) nchini humo. Wanawake wawili waliowasili nchini humo wakitokea nchini Iran.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa comedy saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kabisa kuelewana OMAN kuna joto kishezi bongo haioni ndani kiasi kila nyumba bila AC hamkai ndani
sasa nataka tuone ule nadharia kwenye joto havisurvive je ni kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ina maana Korea kaskazini, urusi, Marekani na Ujerumani huu ugonjwa bado haujafika...!??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hii pemba ya china
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo, hao alliens uliwaona wapi?
Na je unauhakika gani kama alliens ni canivores?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pemba yetu hapo Zanzibar mkuu.