FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #1,441
Thank you!You are doing good work FRANC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you!You are doing good work FRANC.
Yaani mpaka sasa hakuna hata mweusi kuugua Corona duniani kote kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Iran
Mmoja wa wajumbe wa baraza la washauri wa kiongozi wa nchi hiyo Ayatollah Khamenei ameripotiwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona.
Mohammad Mirmohammadi, 76, amepoteza maisha katika hospitali ya Masih Daneshvari mjini Tehran alipokuwa akipatiwa matibabu, shirika la habari la nchi hiyo IRNA limeripoti.
View attachment 1374593
Immunity za waafrika ziko more resistant zaidi ya races zingine Leo Ni miezi kadhaa imepita watu zaidi ya 3000 wamefariki ila hakuna mmatumbi hata mmoja.Yaani mpaka sasa hakuna hata mweusi kuugua Corona duniani kote kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi mwingine wa Iran afariki kutokana na Corona. Serikali ya Iran imetangaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Kuna watu Wana deep connection na Asia Basi ni Africa kutokana na biashara na uchumi Ila Hadi leo hakuna taarifa yeyote rasmi ya mwaafrika kufa kwa haya mafua.
🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚Kama Kuna watu Wana deep connection na Asia Basi ni Africa kutokana na biashara na uchumi Ila Hadi leo hakuna taarifa yeyote rasmi ya mwaafrika kufa kwa haya mafua.
Hubei Ni mji wenye waafrika wengi kuliko sehemu yeyote ya China na ndio chimbuko la huu Ugonjwa lakini Hadi muda huu hakuna aliefariki na aliepata misukosuko kidogo Ni janki wa Cameroon ambae yeye alipewa paracetamol pekee afu punde akapewa discharge arudi nyumbani.
Mafua haya hayamuuwi mwafrika labda Kinga zake ziwe chini saaana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief, inaonekana una shauku kubwa sana ya kuona mtu mweusi anapata huu ugonjwa.Yaani mpaka sasa hakuna hata mweusi kuugua Corona duniani kote kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran hali ni mbaya sana, kama inafikia hatua hadi viongozi wakubwa kufa kwa huu ugonjwa ujue hali ni mbaya.UPDATE: Iran
Mmoja wa wajumbe wa baraza la washauri wa kiongozi wa nchi hiyo Ayatollah Khamenei ameripotiwa kufariki dunia mnamo Jumatatu kutokana na virusi vya Corona.
Mohammad Mirmohammadi, 76, amepoteza maisha katika hospitali ya Masih Daneshvari mjini Tehran alipokuwa akipatiwa matibabu, shirika la habari la nchi hiyo IRNA limeripoti.
View attachment 1374593
Ila white people akili zao wanazijua wenyewe hapo hata LA liga haijasimamishwaUPDATE: Uhispania
Visa vipya 36 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 120 huku wagonjwa watano (5) wakiripotiwa kuwa katika hali ya umahututi.
Mpaka sasa wagonjwa wawili (2) wameripotiwa kupata ahueni.
Hapoa mkuu naraisi siatakuwa kasha uvaa nayeye?.Sijapotea huwa naweka ambazo hazijawekwa na Mwanzilishi wa Mada.
Ni mashauri wa Rais wa Iran
Sent using Jamii Forums mobile app