HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu Root atajuaje huyo mtu wa Togo alipoupata? Hebu fikiri kidogo na wewe
thnkx kwa kutufumbua machoHakuna kitu kizuri kama ukiamua jifunza mkuu , upeo wako wa kufikiri usidhani dunia ndio imeishia hapo , siko kwenye mood ya kuandika ila nitaandika summary kwa uchache sana zikufungue kidogo , na ukitoka hapa ukasome
Kwamba hatuna dawa wala kinga ila mtu anaponaje ponaje , leo ukiugua ugonjwa wowote unaosababishwa na parasites, bakteria au worms au fangasi , unapata dawa hakuna shida .. ila upande wa virusi hua inatokea nini ??
naomba ieleweke kwanza hii ni virusi wote sio korona pekee ,sio jamii moja , virusii wote hakuna dawa, na hii husabishwa na sifa yao kuu , wanaishi mazingira yote , mfu na hai , lakn pia wana uwezo mkubwa sana wa kutengeneza resistance na mambo mengine kadhaa wa kadhaa (ukasome)
HUA KINAFANYIKA NINI SASA ENDAPO MWILI WAKO UKIVAMIWA NA VIRUSI
hua kuna counter measure zinatumika ..mfano , virusi kwa asilimia kubwa hua wanashambulia mifumo mbali mbali ya mwili , ambayo mwsho wa siku husababisha hiyo mifumo ifeli au wewe kupata magonjwa nyemelezi , so hua wanafanya nini
- Kwenye seli zako za mwili , ili ziweze pokea kitu chochote, iwe kirusi au bakteria lazima kuwepo mlango wa kuingia , milango hii huitwa receptors au protein, na kama unavyo faham , virusi hua vinafanya kazi vikiwa ndani ya seli , ..wataalamu wanacho fanya hapa , hua wanaua hizo receptors , ili kirusi kisiendelee kuvamia seli , so hapo seli zako tayari ziko salama, immune system yako inasalimika
pia , dawa ya kuwaua hatuna ila tunaweza wazuia wasiendelee ongezeka ndani ya mwili ...hatua nyingine hiyo
kuwaua hawawezi ila wanaweza wafubaza hivyo unawapunguzia uwezo wao wa kutenda kazi na kulela madhara
pia , vinanyimwa uwezo wa kuendelea kufanya madhara endapo wakitoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
..wanatibu magonjwa nyemelezi ambayo mara nyingi ndio yanayo ua watu kwasababu kirusi kishamaliza mfumo wa ulinzi wa mwili, na mambo mengine mengi mengi... preventive measure kibao huko nje
sehemu kubwa ya vita dhidi ya kirusi inategemea wewe mwenyewe immune system yako ikoje , kama ni imara , wakafanya counter measures hizo unapona
na mambo mengine mengi mengi tuuu , nadhan kwa kias fulan nimekufungua macho ni namna gani wana dili na ebola , corona na the likes na inakuaje watu wanapona , na hata kwa vile virusi vilisivyo pona , wanapambana kuvinyamazisha kwa mifumo hii hii , hadi vitulia tulii , unaishi miaka 20 unavyo .
anyway..endelea kuungana na huyo jamaa, mnadhani upeo wenu wa kufikiri ulipo ishia basi na dunia imeishia hapo hapo , muwe na siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app
facts.....Unaweza kuwa sahihi maana kuna conspiracy nyingi sana kuhusu hii dunia.
Mara N.W.O. mara secrety society kibao.
Ila yote kwa yote mtu ambae hatakiwi kuaminika katika dunia ya sasa ni MZUNGU.... narudia tena ni MZUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wakitafunwa wote mimi naenda zangu ujerumani namiliki nyumba ya makel na naenda spain kumiliki mali zote za messi hii ndo fursa kwa tusio na ajira.hapa sasa ndo unajua kbs kwa nini magu alikomaa tununue bombadia