Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ohoo imekuaje tena hapa mbna kama aijaelewa hv ?!...
China sasa waenda kuisaidia Italy baada ya wao kuweza kuvidhibiti virusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo imekuaje tena hapa mbna kama aijaelewa hv ?!...
China sasa waenda kuisaidia Italy baada ya wao kuweza kuvidhibiti virusi
😂😂😂😂😂 WASHA MALIZA KWAO SASA WAPO TIARI KUSAIDIA WENGINE
duh ! bro tusichafue uzi tuishie hapa tuongee tu kuhusu coronakwa huu mwandiko inaonyesha unamiliki kiwanda cha wanzuki au kiwanda cha gongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu walikua wanawabeza sasa wana maoni gani akina Root[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WASHA MALIZA KWAO SASA WAPO TIARI KUSAIDIA WENGINE
Sasa hivi ana report kutokea ulaya ameshaondoka china!
Nimegundua Italy wana maisha fulani hivi ya kijamaa, wale siyo wazungu sana wale yaani nusu waarabu nusu wazungu.duh..itali inaitaji msaada watu wanapukutika huko balaa.
Alikuwa Uingereza. Na Trump eti kakataza waulaya wote wasiende USA kasoro Uingereza. Ama kweli Akili ni mali.Canada.
Mke wa Waziri Mkuu wa Canada agundulika na Virus vua Corona. Familia nzima imejitenga
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani toka jana hadi asubuh hii wamekufa zaidi ya watu 1000 hii ni hatarii...Nimegundua Italy wana maisha fulani hivi ya kijamaa, wale siyo wazungu sana wale yaani nusu waarabu nusu wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Is China downplaying its numbers?