Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wajuaji ni hao moderators na akili zao wameunganisha nyuziKuna wajuaj wameingilia huu uzi wahun af wanajifanya wajuaj na nyie modarater mmekaaa tu sasa sjui kaz yenu n nn watu tulikuwa tunapata update ya janga LA kidunia
Uzi umeingiliwa na virus 😀😀
huu uchokozi sasa
Kabisa mkuu changamoto ya biashara,wateja wakishaongezeka dharau huwa zinazidi.Wanafanya niichukie JF kisa mapuuza yao ya kushindwa kuchukua hatua
Uzi ulikuwa Wa maana sana lkn kwasasa umekuwa Wa hovyo hovyo na sio kwamba wenye mamlaka hawaoni haya malalamiko ila wameamua kutupuuzia.
Washauunganisha nini mkuu?Moderator Huu uzi mmeuharibu kabisa,hauna maana tena
Washauunganisha nini mkuu?
hapo sijajua bado 7bu hizi taarifa ni zile official za nchi husika ambazo zinakuwa zimepelekwa WHO ambao zinakuwa zinapatillkana katika Site zao hivyo ulitaka kujua habari za nchi husika inabidi uzame kwenye mitandao ya nchi husika.Dah! Nchi nyingi Africa naona hakuna vifo VP wa Burkina Faso ni native black???[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]