Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Kwahiyo yalikuwa matamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa nimeenda kumtembelea mtu handsome kama Robert Heriel Mtibeli nikakuta friji limejaa vikontena vya makande Sasa si Bora tumbadili kabila awe Ngosha🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Kudadadeki. Joannah ni bora ujifiche. Nitakupiga Walahi!
Mimi ninamitego yangu huko Pm wewe unaniharibia. Walahi nitapiga mtu.

Wewe mwenyewe si ulinambia unapenda Makande ndio maana niliyajaza kwenye jokofu kwaajili yako.

Joannah ninacheka kwa hasira hapa
 
Makande yanapaswa kupikwa na kuliwa kwa hamu lakini ukiona ni mara Kwa mara mfululizo ujue hiyo familia wana asili ya choyo.

Wanapika makande kuwakomesha wageni wanaokuja home wakate tamaa ya kuja hapo next time.

Hasa week ends wakijua kuna watu watawakuja wanapika makande [emoji848][emoji848]

Wageni(ndugu wa mume ) wanashangaa Friji imejaa vitoweo lakini wiki tangu waje havipikwi ni kazi ya makande na mboga zisizoeleweka kumbe wanakomeshwa waage waondoke [emoji3][emoji28]
Choyo ni tabia mbaya sana.

Ni dhambi kubwa.
 
🤣🤣🤣🤣Hao wa PM wajiandae tu,wasidhani wanakuja kula mikuku hukuo ni mwendo wa kandee tu
 
Sasa mlitaka tusipende Makande jamani.

1. Makande ni utamaduni wetu
2. Makande yanabana matumizi kwa sababu hayana mambo mengi.

Makande Forever.
🤣🤣🤣Yaani mna mahesabu makali sana,mkaona mkichemsha maharage peke yake,halafu mpike wali au ugali tena yake mtamaliza mkaa khaaaa nyinyi!
 
Akilinjema wewe sio msambaa kweli? Kama msambaa na unamcheka mpare utakuwa umejicheka mama..BTW msosi huo hapo, hauna mpinzani🤣
 

Attachments

  • FB_IMG_1695729010181.jpg
    44.2 KB · Views: 21
Ni Kweli matamu mara mojamoja,sa ndio mjaze fridge makande?
Aisee🤣🤣🤣
Ukiwa mkubwa kweli hayafai kula deile, ila huko kijijini ilikuwa na mwendo wa kande dadeq na hakuna aloyelalamika. Huku mjini tunakula kwa ham zaidi , na vile tumechanganya tamaduni ndio kabisa hayawezi kupikwa kila siku. Ila ni msosi mtam hasa ukipikwa na mwenye asili yake🤣
 
Kwa hiyo utotoni daily na mnaona fresh tu?lakini mimi mbona sishibagi makande ?
 
🤣🤣🤣Yaani mna mahesabu makali sana,mkaona mkichemsha maharage peke yake,halafu mpike wali au ugali tena yake mtamaliza mkaa khaaaa nyinyi!

😅
Ila inatokana na uchumi tuu Mkuu.
Familia zenye kipato kikubwa huishi kulingana kipato hicho.

Wapare wanaishi maisha yao kulingana na kipato chao. Hakuna tamaa, hakuna kuiba,ni ngumu kukuta mpare anajiuza, umalaya wa kujiuza moja kwa moja.
 
Nilikua na kipozeo changu bint Mkwizu alikua ananiletea nyama alfajiri mapema kaingia geto nakula nyama hadi saa mbili naingia kwenye pindi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…