last Commando
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 233
- 304
Urewedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo yalikuwa matamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishawahi kukaribishwa msosi na mpare, nilikuta makande yamepikwa kwa mahindi, maharage,njegere, njugumawe na mchicha[emoji1]
Nilitamani kusema sili cz huo mchanganyiko sio poa! Nikajigaza kijiko cha kwanza tu Makande matamu balaaaaaaaaaa!
Kilichofata nilipiga plate 2.
Sasa nimeenda kumtembelea mtu handsome kama Robert Heriel Mtibeli nikakuta friji limejaa vikontena vya makande Sasa si Bora tumbadili kabila awe Ngosha🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Wengi ni Maandunje
Wana sura nzuri sana,Wana rangi nzuri,Wana akili na wanapenda kusoma tatizo ni kuendekeza ubahili na kupenda makande.
🤣🤣🤣🤣Hao wa PM wajiandae tu,wasidhani wanakuja kula mikuku hukuo ni mwendo wa kandee tuKudadadeki. Joannah ni bora ujifiche. Nitakupiga Walahi!
Mimi ninamitego yangu huko Pm wewe unaniharibia. Walahi nitapiga mtu.
Wewe mwenyewe si ulinambia unapenda Makande ndio maana niliyajaza kwenye jokofu kwaajili yako.
Joannah ninacheka kwa hasira hapa
🤣🤣🤣Yaani mna mahesabu makali sana,mkaona mkichemsha maharage peke yake,halafu mpike wali au ugali tena yake mtamaliza mkaa khaaaa nyinyi!Sasa mlitaka tusipende Makande jamani.
1. Makande ni utamaduni wetu
2. Makande yanabana matumizi kwa sababu hayana mambo mengi.
Makande Forever.
Akilinjema wewe sio msambaa kweli? Kama msambaa na unamcheka mpare utakuwa umejicheka mama..BTW msosi huo hapo, hauna mpinzani🤣Makande yanapaswa kupikwa na kuliwa kwa hamu lakini ukiona ni mara Kwa mara mfululizo ujue hiyo familia wana asili ya choyo.
Wanapika makande kuwakomesha wageni wanaokuja home wakate tamaa ya kuja hapo next time.
Hasa week ends wakijua kuna watu watawakuja wanapika makande [emoji848][emoji848]
Wageni(ndugu wa mume ) wanashangaa Friji imejaa vitoweo lakini wiki tangu waje havipikwi ni kazi ya makande na mboga zisizoeleweka kumbe wanakomeshwa waage waondoke [emoji3][emoji28]
Choyo ni tabia mbaya sana.
Ni dhambi kubwa.
Ni Kweli matamu mara mojamoja,sa ndio mjaze fridge makande?Akilinjema wewe sio msambaa kweli? Kama msambaa na unamcheka mpare utakuwa umejicheka mama..BTW msosi huo hapo, hauna mpinzani🤣
Aisee🤣🤣🤣Ni Kweli matamu mara mojamoja,sa ndio mjaze fridge makande?
Matamu sana! Mpaka kichogoniKwahiyo yalikuwa matamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo utotoni daily na mnaona fresh tu?lakini mimi mbona sishibagi makande ?Aisee🤣🤣🤣
Ukiwa mkubwa kweli hayafai kula deile, ila huko kijijini ilikuwa na mwendo wa kande dadeq na hakuna aloyelalamika. Huku mjini tunakula kwa ham zaidi , na vile tumechanganya tamaduni ndio kabisa hayawezi kupikwa kila siku. Ila ni msosi mtam hasa ukipikwa na mwenye asili yake🤣
Zama zetu hakukuwa na shida, tulikuwa bila tatizo. Hizi juniors za sasa ndio mtihani, jamaa zangu wakipikiwa kande ni kulalama tu hapa🤣Kwa hiyo utotoni daily na mnaona fresh tu?lakini mimi mbona sishibagi makande ?
🤣🤣🤣Yaani mna mahesabu makali sana,mkaona mkichemsha maharage peke yake,halafu mpike wali au ugali tena yake mtamaliza mkaa khaaaa nyinyi!
🤣🤣🤣🤣Hao wa PM wajiandae tu,wasidhani wanakuja kula mikuku hukuo ni mwendo wa kandee tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikua na kipozeo changu bint Mkwizu alikua ananiletea nyama alfajiri mapema kaingia geto nakula nyama hadi saa mbili naingia kwenye pindi