Thubutu utachapiwa mpaka uone cha mtema kuniKwaio unataka kusema nikitaka kuoa nirudi upareni sio??
Mbona hamna mchicha?Akilinjema wewe sio msambaa kweli? Kama msambaa na unamcheka mpare utakuwa umejicheka mama..BTW msosi huo hapo, hauna mpinzani🤣
🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye kande kujaza friji hapana Kwa kweliUkipenda ua penda na boga lake mrembo 🤣
we unampendaje mpare halafu hupendi makande?
🤔🤔🤔🤔🤔Ngoja nifikirieKwa ukanda wa kaskazini Wapare tunaongoza kwa kujali familià, kihisia, kiroho, kimwili na kiakili.
Tofauti na ndugu zetu Wachagga wao wapo mahiri zaidi kwenye huduma za Kimwili (kiuchumi).
Daaah tuwaombeeBora vioze vyakula kuliko kivigawa hata matajir wa kipare ni balaa🤣🤣🤣😂😂
Eeeeeh Leo mmeungana kutetea dada na mabinti zenu au sio?
Ni wabishiii!!!watani zangu hamjawahi kuniangusha, napenda sana vituko vyenu mkifanya kosa mnakaza na kukataa kabisa 😃😃
Hahahahahah tutonga na bajet🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye kande kujaza friji hapana Kwa kweli
Mi binafsi katika wapare ambao nishakutana nao na kuishi nao sijawahi kuona mpare mwenye roho nzuri SIJAWAHI
Ni wachawi sana wanatisha halafu wanasikitisha, nilipanga nyumba ya mmama mmoja hivi jamani alifunga njia za kupata hela , alikuwa analeta mapaka pale unapotarajia hela, kuolewa au jema lolote usiku anakuletea mizimu ya kwao wanakupigisha shoo hadi asubuhi . Mwanzoni sikuamini ila baada ya hali yangu kuzorota kiuchumi na kimahusiano niliachana na maisha ya kuishi kwake nikahamia kwingine.Ni washirikina sijawahi ona,nilioa mwanamke wa kipare cha moto nimekiona,nimempa talaka lakini bado kaning'ang'ania tu mwange yule.
🤣🤣Mko vizuri kwenye hiyo sektaHahahahahah tutonga na bajet
Eeeeeh ndio hivyo tena?Ni wachawi sana wanatisha halafu wanasikitisha, nilipanga nyumba ya mmama mmoja hivi jamani alifunga njia za kupata hela , alikuwa analeta mapaka pale unapotarajia hela, kuolewa au jema lolote usiku anakuletea mizimu ya kwao wanakupigisha shoo hadi asubuhi . Mwanzoni sikuamini ila baada ya hali yangu kuzorota kiuchumi na kimahusiano niliachana na maisha ya kuishi kwake nikahamia kwingine.
Analeta pia majini yake kwa njia ya mijusi , mapaka bado mizimu ya kwao wanakuchezea hadi asubuhi.
So fukuza huyo mshenzi maana atakuulia ndugu zako hata wewe mwenyewe kaa mbali .
Aisee kuna kamoja Halima kalikua katamu sana,mungu akape maua yake.Wana sura nzuri sana,Wana rangi nzuri,Wana akili na wanapenda kusoma tatizo ni kuendekeza ubahili na kupenda makande.
Maisha yamebadilika sana sikuhizi. Wapare waliostaarabika mbona wapo wengi tu. Hio mifano mnatolea ya Ma Layman huko Ndungu ni ya kizamani sanaWapare kwa ubahili hawajambo lakini wanataka waonekane wanaishi vizuri, anaweza kununua mchele nusu akaula Mwezi mzima! Yes kivipi, yaani anatoka nje na mchele wake anaupeta watu wamuone 😆 akiingia ndani anasonga ugali na samaki viperege🤣 pia wanamboga yao ya majani yanayokaushwa yanasagwa kuwa unga, anyway ni moja ya experience niliokutana nayo miaka miwili na ushee nikiwa pale Same Secondary.
Ni ukweli halafu ukipata hata kodi yake anachukia nakukuliza umepatahe hiyo kodi , halafu ukiwahi kumpa hakupendi kabisa jingine anakera sana , anapenda uwe na maisha ya chini ukila vizuri anachukia sanaEeeeeh ndio hivyo tena?
Hahahahahah Unakuta aliepost hivi ni mkinga au Muha ambako mpaka serikali imeamua kuingilia kati maana ni mzozo. 🤣Ni washirikina sijawahi ona,nilioa mwanamke wa kipare cha moto nimekiona,nimempa talaka lakini bado kaning'ang'ania tu mwange yule.