D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mchanganuo mzuri tunaomba wa biashara hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula mchele tu hao wateja au??Fikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Hapo umeonyesha ugumu wa kufikiliWanakula mchele tu hao wateja au??
Nimeonesha mm au wewe?Hapo umeonyesha ugumu wa kufikili
Nyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000Wanakula mchele tu hao wateja au??
Maharagwe na mboga za majani usisahaunyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000
Maharage robo tu ya 700 yanajaza vibakuli kumi >,mboga za majani kwa wateja wa mwanzo mwanzo.Maharagwe na mboga za majani usisahau
Usisahau mkaa amenunuaFikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Hyo nyama n ya punda aunyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000
Hyo nyama n ya punda aunyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000
Hyo nyama n ya punda aunyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000
Nyama ya ng'ombe kwa Dar es Salaam inapatikana kwa 4000 tu ndiyo maana mabucha mengi kwa sasa yanauza 5000-6000.Hyo nyama n ya punda au
Inauzwa 4000 per 1kg
Hivi kumbe kuna maeneo nyama inauzwa bei rahisi hivyo!!!nyama ananunua 4000 per kg anauza vinyago viwili viwili kila sahani ya 2000
Nami nimejiuliza sijapata majibu!!!Hyo nyama n ya punda au
Inauzwa 4000 per 1kg
ndiyo mbona maeneo mengi nyama ni 5000-6000Hivi kumbe kuna maeneo nyama inauzwa bei rahisi hivyo!!!
nyama machinjioni ni 4000 tu.Nami nimejiuliza sijapata majibu!!!
Me nmeshangaa sana aiseeeNami nimejiuliza sijapata majibu!!!
Ungesema machinjion sawanyama machinjioni ni 4000 tu.