Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Wanakula mchele tu hao wateja au??
 
Fikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Usisahau mkaa amenunua
 
Biashara ya chakula ni biashara inayolipa kama utaifanya kiusahihi kwa kuzingatia ubora wa chakula unachopika na uhodari wako wa kutega (kutafuta) soko la uhakika mfano mjini hapa kuna mama ntilie wanaofanya huduma za kusambaza maofisini n.k cha muhimu ni kuzingatia usafi,kupika chakula kitamu (hapa lazima uwe na mpishi anayejielewa),kununua viungo vyote vinavyohitajika ambavyo vipo katika hali nzuri sio una kwenda Stereo kununua nyanya mbovu mbovu (masalo) hapana, ukipika chakula katika hali ya ubora basi utaiona raha ya kuuza hicho chakula kwani sahani moja utaweza iuza hadi Tsh. 10,000/=
 
Back
Top Bottom