Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Hata mimi nahitaji kufanya hii biashara. Kikwazo bado ni mtaji tu. Raha ya biashara hii upate location nzuri iliyochangamka
 
Naomba kutoa maeleezo kidogo hapo jinsi ya kujiunga au jinsi ya kuwa Wakala.....Kwa Vodacom unatakiwa uwe na TIN Namba,Leseni hai ya biashara na kitambulisho hai pia.....
 
nasikia kupata uwwakala wa MPESA ni issue hebu utujuze jamani
mimi nataka hata kesho lakini kupata hiyo number nasikia sasa hivi ni issue nikuone wapi themankind ili ikiwezekana nianze kabla ya tarehe 15 nimedhamiria
Kuna jamaa angu mmoja huwa anauza hizo laini ila huwa zina ulanguzi flani,siwezi taja bei zake nifate inbox nikuunganishe naye.
 
Heshima mbele wadau,
Hawa watu wa mitandao ya Tigo pamoja na M-Pesa wamefanya hizi laini zao za M-Pesa na Tigo Pesa kuwa kama biashara ya Madawa ya kulevya.
Ukifuata mfumo uliowekwa haupati katu abadani, itakuchukua hata mwaka kuzipata. Ni bora hata hao Tigo kidogo wana uhafadhali coz wanatumia mawakala ambao wana physical address kabisa.
Lakini hawa VodaCom ndo mama utaratibu wao ni mbovu. Hao mawakala hawajulikani wanapatikana wapi.
Nina miezi mitatu sasa toka nifanye hizo application za hizo laini. Mpaka nataka kughaili kufanya biashara hiyo, nifanye biashara nyengine.
 
Mimi kuna jamaa kaniambia kuna line za magumashi kama za mtaani nasikia ukinunua za mtaani yale malipo ya transactions mnagawana yaan kuna malipo yanaenda kwake na mengine unapata ww, lakini pia shida ipo ukifuata hatua kupata hizo line voda na tigo process ni ndefu mno na urasimu mkubwa sana wakati ni kitu cha siku moja tuu ila imekuwa biashara maana hyo bei unayolipia line ya M PESA ama TIGOPESA. Robo ya hyo hela ndo gharama halisi zingine zinapigwa tuu.... Voda na Tigo mnatuangusha tunataka kuwekeza tushilingi twetu humo lkn urasimu kibaoooo
 
Ninazo lain za m.pesa nichek tuongee biashara unaipata muda wwt utakao, no. 0765190024
 
Ninazo lain za m.pesa nichek tuongee biashara unaipata muda wwt utakao, no. 0765190024
Hawa jamaa wanachofanya mkuu ni wezi wakutupwa. Inakuwa hivi unapo apply makao makuu huitoa hiyo line na kumpatia wakara akupatie lkn badala wa wakala kukupatia hiyoline wao huiuza kwa mtu yeyote wanao mtaka na kuchukua hela, Sasa wewe utendelea kufwatilia na wao wataendelea kukuzungusha tu. baadae yule aliyepewa line ya jina lako anaitwa na wakala kubadilisha jina na hapo mchezo huwa umeisha.
 
Ukitaka kuucheza mziki wa laini ya Mpesa uipoteze ndio utaucheza vizuri. Itakutoka hela ndefu halafu kupata hiyo laini utasubiri sana.
 
Nimejifunza kitu kutoka kwako and yu've made my day. Ufafanuzi wako umekuwa darasa zuri sana na utatoa msaada kwa wengi. Endelea kuwa na moyo huo na usichoke kutoa ushauri pale utakapokuwa unahitajika tena.
Asante sana na laini Hizi zinauzwaje
 
Nafanya hiyo biashara, mwanzo nilianza na laini ya mtu, ila yangu niliipata baadae kwa muda kama wa miezi 6 hivi ila utaipata kwa kuwa na vitu vifuatavyo TIN Number,Leseni ya biashara,kitambulisho mf cha mpiga,na utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji
 
Huko voda utalipia tsh ngap??
 
daah hii biashara changamoto kubwa kwa sasa ni hela feki inabidi kuwa makini sana,,,mm nimeifunga sababu hyohyo lakn nitarudi tena ngoja nizitambue vzur pesa feki na orginal
 
B
bro umeona jamaa ana fursa sana natamani ningekua maeneo ayo nikapiga pesa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…