Mzee usha wahi fanya hii biashara weww maana povu libavyo kutokaKama unataka kufanya hii biashara tafuta mtandao mwingine voda ni wezi sana..watakuibia kwa kila namna..watakupigia simu ili wakuibie..watakufuata hadi kibandani kwako wakurushie muamala fake...
Voda ni wezi wezi wezi wezi wezi wezi ×20000...
OK naona Ww utkua unajuwa vzr juu y hii mambo mkuu..nna mil moj cash nnko mjin heb funguka mkuuMzee usha wahi fanya hii biashara weww maana povu libavyo kutoka
Hebu tuwe wakwel mwambie mtu ukweli sio kukatisha tamaa
Japo commision siku hiz zimepungua . Lakin ukikaa site zenye mzunguko wa pesa utapata chechi tu ya kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo milioni una TILL ngapi? Yaan ataleast uwe na 1.5m kwa kila till cash 1m na float 0.5m hapo utafanya biashara. Mteja akija asikose pesa wala asiondoke na helaOK naona Ww utkua unajuwa vzr juu y hii mambo mkuu..nna mil moj cash nnko mjin heb funguka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina till moj mkuu...Hiyo milioni una TILL ngapi? Yaan ataleast uwe na 1.5m kwa kila till cash 1m na float 0.5m hapo utafanya biashara. Mteja akija asikose pesa wala asiondoke na hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikutishe piga kaz utaniambia,kikubwa sehem iwe na miamala mingi pia umakini usikosee kutuma pesa pia utapeli jihadhar unaweza pata 400000 kwa mwez as commission kwa hiyo pesa uliokuwanayo. Kikubwa hapa ni mzunguko uwe mkubwa.
Pamoja sana mkuu..ngoja nkomae tuuWasikutishe piga kaz utaniambia,kikubwa sehem iwe na miamala mingi pia umakini usikosee kutuma pesa pia utapeli jihadhar unaweza pata 400000 kwa mwez as commission kwa hiyo pesa uliokuwanayo. Kikubwa hapa ni mzunguko uwe mkubwa.
Sio anakuja mteja ooooh sina cash mara nmeishiwa float,huwez pata faida kubwa. Hapa lazima mteja ahudumiwe wakuweka aweke na wakutoa atoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na mtaji mkubwa plus mzunguko uko vizuri. Japo watu wanasema voda ni wezi ila kwenye kampuni zote voda ndio wanalipa vizuri maana nafanya zoteUkwel hii biashara kama utakuwa na mzunguko mzur yaan ukifanya miamala mingi hasa ile ya wateja kutoa pesa inalipa sana: mfano mimi mwez wa 7 vodacom wamenipa commission ya zaid ya laki 5 na Tigo nimepata 270,000 hapo utasemaje biashara kichaa?
Watu wanasema tu hawana ushahid japo hapa kubwa ni umakin wa mhuduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hako ka commission lazima wamkate VAT... Watumishi wa voda ni wezi kuliko wa mitandao mingine, voda customer care ni majambazi kuzidi hata Acacia.
Akumbuke asiingie hiyo biashara endapo ana matarajio makubwa...anaweza akawa anazungusha laki 8... Lakini kwa mwezi mzima akaambulia elfu 20 kama commission yake...kwahiyo azingatie sana aisee!. Bora awekeze kwenye hisa tu
Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengineKwanza
Mfanyakazi atakuoiga kama siyo wewe mwenyewe unayehamishia wateja pesa. Wafanyakazi wanasajili line wanakuwa wanatoa hudumu wewe line yako haifanyi kazi kabisa.
Pili,
Makapuni ya Simu wanakuibia ile Commission, hawakupi kama ukivyotakiwa kupewa.
Tatu,
Unakaribisha panya road na mbwa mwitu maana, wanasasambua sana humo kwenye vibanda hasa huku dar nasikia ni kawaida.
Nne,
Faida yake nasikia siyo kubwa kiviile, yaani usitarajie miujiza ya kipato kupitia hiyo biashara faida yake siyo kubwa na hasa ukirejea namba hizo juu zote zinasababisha faida kuwa ndogo.
Tano,
Kama una pesa ya mawazo na hesabu Kali. Usitarajie faida ndani ya siku au wiki ni uwekezaji unaohitaji mtu mvumilivu na aliye na vyanzo vinginevyo vya mapato.
Wengine watakuongezea mambo mengine maana, nami hayo yote nimeyasoma umu humu JF kuhusu uwekezaji.
Nikutakie uwekezaji mwema.
Watu wanachosha sana wanakatisha tamaa halafu wanaongea utadhan wao tu ndo wanafanya hii kazKama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon
What goes around always comes around
Wanaiga mkumbo, wewe chukua hiyo laini utarudi kusimulia watu....wengi wananunua kwa mkumbo tuHahahaa.. Umenichekesha sn mkuu..elf 20??? Mbn watu wananunua line kwa fujo tu bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tunataka asiingie, bali tunampa changamoto zilizopo huko. Ukumbuke kila biashara inachangamoto hivyo akiomba msaada inabidi asaidiwe kueleweshwa pande za faida na za hasara na mazingira yake kwa ujumla...maamuzi anayo yeye mwenyewe...ushauri tunampa bure, angeniomba hela mm binafsi nisingemsaidia ila ushauri hata usiku wa manane natoa tu.Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon
What goes around always comes around
Duh...ngoja nizidishee utafit w hii kitu mkuu!!!Wanaiga mkumbo, wewe chukua hiyo laini utarudi kusimulia watu....wengi wananunua kwa mkumbo tu
Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon
What goes around always comes around
Weka bei mkuu, na vipi utaratibu wa kubadilisha majina na taarifa za mmiliki wa Till?TILL ZA:
Halo pesa
Tigo pesa
M-pesa
Airtel money
Zinauzwa kwa bei poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei naziuza 130000 na utaratibu wa kubadili majin haupo yaan kifupi hawaruhusu kubadili majina. Pia kuhusu kaz unafanya na commission unalipwa wewe si ndio unamiliki laini?Weka bei mkuu, na vipi utaratibu wa kubadilisha majina na taarifa za mmiliki wa Till?
Usalama ukoje, isije kua unanunua then unamfanyia kazi mwenzako[emoji23]
sasa boss hapa duniani hakuna bishara yenye faida ya haraka zaidi ya madawa....dont be so persimist mwache jamaa ajaribuMajibu yako yanaonesha uwezo wako.
Binafsi, nimeonesha changamoto na nimemwambia aangalie pesa zake zikoje kama ni za mawazo au anatarajia faida ya miujiza haipo.
Any way, lazima tuwe na mitazamo mingi kwenye jambo moja ili tuwe na hatima nzuri.