Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Hakuna wa kupaniki ila nashangaa unavyokazana kumvunja moyo.
Nafikiri mleta mada ana akili timamu atachagua mbivu na mbichi.

Kwa leo naishia hapa
 
Hakuna wa kupaniki ila nashangaa unavyokazana kumvunja moyo.
Nafikiri mleta mada ana akili timamu atachagua mbivu na mbichi.

Kwa leo naishia hapa
OK nitafutie wateja huko nauza till zote NNE zina jina moja ili niongeze mtaji. Ni mpya kabisa hazijawahi tumika yaan yeye mnunuzi ndo anakuwa wa kuzivunja toka kwenye vibati na kubadili password
 
Hakuna changamoto pia sio kwamba nafunga business, ni kwamba nlinunua till kwa mtu ndio nafanyia kazi hizi nazouza nilipeleka maombi kwa makampuni husika toka tarehe 7/1/2018 ndo nmepewa leo. Naziuza ni mpya kabisa
Mkuu kwenye makampuni we umezipata kwa sh ngapi
 
OK nitafutie wateja huko nauza till zote NNE zina jina moja ili niongeze mtaji. Ni mpya kabisa hazijawahi tumika yaan yeye mnunuzi ndo anakuwa wa kuzivunja toka kwenye vibati na kubadili password
Ya mpesa ukifika laki na mabango na kitabu utanistua
 
Uzi mzuri sana hongera wachangiajia wote Vi rendra hongera sana
 
Hii biashara kwa navyojua mimi uwe makini tu na mtaji wako kwa kuanzia commission inaweza kuwa ndogo ila baada ya kuzoeleka na kukuza mtaji wako inatosha kupata faida kubwa

Me kuna kipindi huwa nabaki na float ndogo tu lakini Namshukuru Mungu mambo huwa sio mabaya

Cha kuzingatia hapa ni uwe na sehemu ambayo kuna mzunguko mzuri wa pesa utapiga hela ya uhakika
 
Mkuu Wateja wengi tulio nao huwa wanatoa na kuweka kiasi kidogo sana

Mi huwa natumia mtaji kidogo na huwa napata faida kubwa
 
Mkuu asante kwa kumtia moyo mleta uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…