Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Hakuna wa kupaniki ila nashangaa unavyokazana kumvunja moyo.Mbona umepanic!.kwahiyo umetoka kwenye mtaji wa laki 5 umehamia laki 8 saizi.
Sijakata tamaa na hapa nipo kwenye biashara hiyo muda huu naziuza ni mpya niliomba mwezi wa kwanza ndo nmepewa leo yaan zipo mpya hata kwenye simu hazijawekwa. Na atakaenunua ndo atazitoa kweny vibati vyake na kuanza kuzitumia hivyo elewa sijafunga business natumia nlizonunua kwa watu kabla sijapata zangu.
Mtaji wa 500,000 hauwez mpa faida ya laki 6 kwa mwezi hata afanyaje
Nafikiri mleta mada ana akili timamu atachagua mbivu na mbichi.
Kwa leo naishia hapa