Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Mbona umepanic!.kwahiyo umetoka kwenye mtaji wa laki 5 umehamia laki 8 saizi.
Sijakata tamaa na hapa nipo kwenye biashara hiyo muda huu naziuza ni mpya niliomba mwezi wa kwanza ndo nmepewa leo yaan zipo mpya hata kwenye simu hazijawekwa. Na atakaenunua ndo atazitoa kweny vibati vyake na kuanza kuzitumia hivyo elewa sijafunga business natumia nlizonunua kwa watu kabla sijapata zangu.

Mtaji wa 500,000 hauwez mpa faida ya laki 6 kwa mwezi hata afanyaje
Hakuna wa kupaniki ila nashangaa unavyokazana kumvunja moyo.
Nafikiri mleta mada ana akili timamu atachagua mbivu na mbichi.

Kwa leo naishia hapa
 
Hakuna wa kupaniki ila nashangaa unavyokazana kumvunja moyo.
Nafikiri mleta mada ana akili timamu atachagua mbivu na mbichi.

Kwa leo naishia hapa
OK nitafutie wateja huko nauza till zote NNE zina jina moja ili niongeze mtaji. Ni mpya kabisa hazijawahi tumika yaan yeye mnunuzi ndo anakuwa wa kuzivunja toka kwenye vibati na kubadili password
 
Hakuna changamoto pia sio kwamba nafunga business, ni kwamba nlinunua till kwa mtu ndio nafanyia kazi hizi nazouza nilipeleka maombi kwa makampuni husika toka tarehe 7/1/2018 ndo nmepewa leo. Naziuza ni mpya kabisa
Mkuu kwenye makampuni we umezipata kwa sh ngapi
 
OK nitafutie wateja huko nauza till zote NNE zina jina moja ili niongeze mtaji. Ni mpya kabisa hazijawahi tumika yaan yeye mnunuzi ndo anakuwa wa kuzivunja toka kwenye vibati na kubadili password
Ya mpesa ukifika laki na mabango na kitabu utanistua
 
Uzi mzuri sana hongera wachangiajia wote Vi rendra hongera sana
 
Hii biashara kwa navyojua mimi uwe makini tu na mtaji wako kwa kuanzia commission inaweza kuwa ndogo ila baada ya kuzoeleka na kukuza mtaji wako inatosha kupata faida kubwa

Me kuna kipindi huwa nabaki na float ndogo tu lakini Namshukuru Mungu mambo huwa sio mabaya

Cha kuzingatia hapa ni uwe na sehemu ambayo kuna mzunguko mzuri wa pesa utapiga hela ya uhakika
 
Mkuu utafanyaje muamala wa 2milions wakat una mtaji wa 500,000?. Si utamwambia mteja sina cash au sina float ili aende kwa mwingine?. Kuwa reality mtaji una umuhim sana ili ufanye miamala mingi otherwise utasubir wa 50,000 au 20,000 akija wa million huwez muhudumia
Mkuu Wateja wengi tulio nao huwa wanatoa na kuweka kiasi kidogo sana

Mi huwa natumia mtaji kidogo na huwa napata faida kubwa
 
Mtaji kwakweli mm kwangu ilikua mil 1 kila line kasoro airtel laki3
kwahiyo laki5 naweka kwenye simu laki5 cash
ina maana ilikua mtaji mil2.5
hapo line zishanunuliwa

ila mkuu mm binafsi niliikuta biashara imeshafika huko.. kwahiyo kama hio mil1.5 ni mtaji tu inatosha sana tu. utapanda kidogo kidogo
Mkuu asante kwa kumtia moyo mleta uzi
 
Back
Top Bottom