Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
mkuu usingekata tamaa ya hapo voda,mi huwa nakawaida ya kuamini sehemu tamu/yenye maslahi huwa kuna mizengwe hivyo ukishaona hivyo ungeanza jia za mlango wa nyuma.mi ninajamaa yangu anafanya biashara ya uwakala wa m-pesa adaka si chini ya laki nane kwa mweziSio tu faida inavyopatikana. Ni vizuri pia utafiti faida inayopatikana.
Niliwahi kuwafuatilia hao kina Voda nikagonga mwamba makao makuu, wakanambia sijui nimwone fulani, leo katoka, jana yuko likizo, kesho kutwa kampeleka mkewe hospitali, nikaona ujinga, nikaachana nao.
Experience yangu kwa uwakala wa makampuni makubwa kwa ujumla ni mbaya. Nimekuwa supplier wa Cocacola, nimeuza mafuta ya GAPCO, nimeuza internet services za TTCL. Nikaapa sitafanya uwakala wa kampuni kamwe. Wao wanapanga bei bila kujua bei ya mtaani huku ni ngapi, hawajali unapata faida au hupati, very ignorant people, customer service mbovu, hawana kitengo cha mawakala, unakuta kuna ofisa mmoja wamemuweka kwenye cubicle ndio eti a deal na issue zote za suppliers! So ridiculous.
nashauri rudi tena kuwacheki jamaa