AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Katika huduma zote hizo ulizotaja za e-money ambayo imesambaa sana ni Mpesa, ikifuatiwa na Tigo pesa then Airtel Money. Hivo unapoanzisha biashara yako hakikisha kua Mtaji mkubwa zaidi uko kwenye Mpesa, then Kiasi kwenye Tgo Pesa then Airtel.
Ukitaka kufanya hizo biashara za e-money vitu vya kuzingatia ni haya:-
Mtaji wa kutosha
Huo mtaji unakua in form of Float (pesa kwenye account) na Cash (Pesa Mkononi). Naamini unaelewa ni biashara ambayo inategemea entirely on Money. Hakikisha una mtaji wa kutosha. Katika hii biashara inategemea ukubwa wa mtaji wako wewe upo vipi. Lazima uwe na salio (Float) kubwa saana katika account yako ya biashara. Kwamba mtu akihitaji kiasi chochote kile toka One Million to One thousand wewe uwe na uwezo wa kutoa. Na pia kuhakikisha una pesa mkononi ya kutosha. Ukiwa na mtaji wa kutosha utakua na gurantee ya wateja wengi wapya na wakujirudia. Hakuna kitu kinaboa kwa mteja kama kutaka pesa alafu anaingia bada la pesa na kuambiwa hana ajaribu mahala pengine. Kumbuka the more transactions wafanya the more profit (kupitia monthly commission) unapata.
Mahala pa Biashara.
Hakikisha ni mahala ambapo pako busy hasa kibiashara... Mfano Mwenge, Ubungo, Magomeni na the Like. Sehemu ambapo shuguli mbali mbali zaendeshwa... Hata humu kwenye ma stand. Kama una uwezo mkubwa weka Ofisi yako ya Kisasa na ndogo tu, haiitaja mahala pa kubwa sana. Hakikisha kuna usalama wa kutosha; kwamba sio rahisi kuvamiwa na wezi ama majambazi (sababu wengi hua na imani kuna pesa nyingi na aweza komba).
Mhudumu
Ni huduma ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu sana. Haiitaji kabia mhudumu Mzembe. Take note ni biashara ambayo inaendeshwa kwa kutegemea number za simu. Iwapo mhudumu wako atakosea kutuma pesa za mteja wake kwa number nyingine (labda kwa kukosea digit moja tu); ana option ya kupiga customer care ku cancel hio transaction. However inaweza tokea kua yule ambae kahamishiwa pesa bahati mbaya yupo really sharp na akahamisha ile pesa ama kuitoa. Ikitokea hivo ujue hio pesa ishapotea no matter ni shilingi ngapi.
Faida
Faida inategemea Umakini wa Operator wako kutokuingiza loss, Frequency ya transaction zako kama nyingi; the more you operate the more you get, Ukubwa wa mtaji wako. Yaani ujiwekee ni dhambi mteja akose huduma katika office yako.
Nakutakia kila la kheri Majogajo, kama una swali la zaida, weka hapa chini nitapita nikipata mda.
Pamoja Saana.