Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wanaouza hizo line si ni voda wenyewe mbona umu kila mtu anauza
Hii biashara inaendelea kushuka. Wanakuja mawakala wa benki na bye bye mpesa. Too expensive for nothinghivi wanaouza hizo line si ni voda wenyewe mbona umu kila mtu anauza
Mi nimeshafanya hiyo biashara(MPESA,TIGOPESA),nilikuwa pia na mashine ya Selcom,nilianza mwakajuzi but mwakajana nikaziuza line zote na,hiyo mashine imebak pambo tu ndani.In short hiyo biashara kwangu mimi niliona kujichoresha tu haina faida,otherwise uwe eneo lililochangamka sana eg. stand ufanye transaction nyingi sana ndo utaiona faida yake.Commision zao ni ndogo sana so kama hupati wateja wa kutosha unapoteza mda tu !
Mkuu Commission unapata vp? yaani Income yake inakokotolewa VP.Ni wakala wa Maxmalipo. sijui kama bei zimebadilika, lakini mwaka jana ilikuwa unalipa Tshs. 800,000/=, kati ya hizo Tshs. 500,000/= ni capital/mtaji na kiasi kilichobaki ni bei ya mashine. inalipa hasa kama sehemu unayoishi kuna wateja wengi wanao tumia umeme.

Mkuu Commission unapata vp? yaani Income yake inakokotolewa VP.
inlipwa kila mwanzo wa mwez unaingiziwaa kwenye machine mi nataka ya selcom za maxmalipo commission ndogo alaf znasumbua kila siku znaingixa mfumo mpya nawateja wenyewe hawaa wa uchochoron utakoma kama sku hioo kanunuliaa umeme pesa ya gongo