Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hela ndogo kama unataka line mpya.unatakiwa kuwa na TIN no na leseni ya biashara,kitambulisho then nenda kwa wakala mkuu au vodashop. Otherwise ununue kwa mtu .
ww nunua kwa mtu weka float anza biashara. kama unataka ya process nenda TRA omba TIN itakughalimu kama 35000.
Acha kukatisha watu tamaa hakuna biashara yenye faidi bila kuchakalika na kama ipo itaje tuone,Mkuu kama jumla ya miamala yako ni 10M usitegemee zaid ya laki kwa mwezi kama commission.
biashara ya MPESA kwa analysis yangu ni exploitation kubwa kwa mawakala, commission wanayopata mawakala ni ndogo sana wakati makampuni ya simu yanapata super normal profit.
Mkuu nakushauri kama unawezfanya biashara nyingne na hiyo million tatu ni bora ukafanya hivyo.
ukifanya economic analysis utagundua kuwa MPESA haina faida kwa mawakala.
mimi naona kama hiyo miamala itakua haili muda wako na utakua unaimudu vizuri bila kuathiri ishu zako nyingine naona ifanye tu, maana hiyo hela ukiiweka bank mkuu riba yake kwa mwaka mzima haizidi 150,000 na ukinunua hisa hazipandi nazo hakuna faida yoyote ya maana, bodaboda ni risk tupu piaWadau habari zenu..
Naombeni ushauri juu ya hii biashara ya kutoa na kuweka hela inayototewa na kampuni ya vodacom...Mimi ni muajiriwa katika taasisi moja inayofanya malipo yake mengi kwa kutumia mtandao huo...sasa nimepata line niliyouziwa na mfanyakazi wa vodacom kwa sh.170000/-lengo langu ni kufanya miamala inayofanyika na wateja wa taasisi yangu...ili niweze kupata commission kama wapatavyo mawakala wengine...
Sasa swali langu kwenu wadau je kwa miamala nitakayokuwa nafanya yaani kuwalipisha wateja kupitia line yangu ya uwakala bila kuwa naweka au kutoa hela malipo yake yakoje na je kuna shida yoyote kwa vigezo na masharti ya vodacom??
Nina uwezo wa kufanya miamala mpaka ya milioni kumi(10,000,000) kwa mwezi je commission yangu itakuwa bei gani kwa mwezi.....
Karibuni wataalamu wa mobile money transaction and commissions(vodacom) na wengine mnaojua chochote juu ya hii kitu mnisaidie michango yenu...Nina mtaji wa milioni 3..Asanteni
Yaani we we ndo umemaliza.Nimekuwa kwenye hii biashara kwa miaka 7 now, since inaanza 2010. Nilianza na zote mbili Tigo Pesa na M pesa. Nilikuwa na frame barabarani karibu na kituo cha mabasi. Nakumbuka commision ya kwanza ilikuwa 14,000 voda na 3000 tigo, nikaona upuuzi nikataka kuacha, ila sababu nilikuwa na biashara nyingine nikavumilia, in 6 months baada ya watu kuzoea, nilipata joint commission ya 450,000. Hapo nikashtuka nakuongeza mtaji, nakumba 2012 kuna mwezi niliingiza 800,000 voda na 750,000 tigo. Ilikuwa biashara ikiwa mbaya basi cshuki 1 million.
Nilikutana na changamoto nyingi, mwaka 2013 feb nilivamiwa na majambazi na kidogo nipigwe risasi, walichukua fedha nyingi sana. Ckukata tamaa, nikaanza upya. Nikaja kutapeliwa mara kibao, ikaja hii ishu ya kukatwa kodi, ila mpaka leo naendelea na hii biashara, japo hailipi sana kama zamani but inasaidia. Kwa sasa nina
1. M PESA
2. Tigo pesa
3. Airtel money
4. CRDB fahari huduma
5. Kifaa cha max malipo kwa ajili ya luku etc
So nikujipanga tu ndugu
Je hii ya main line na tigo pesa ndo hivyo au wenyewe wana utaratibu tofauti?Tafta till kubwa sajil line yako kwenyewe utapata hela nzuri. Inauzwa laki saba. Faida yako itakuwa ni yako na kampun tu. Izo wanazouza laki na 70 unafaidika wewe, aluekuuzia line na kampun ya vodacom. Ukinunua ya laki saba unapewa main line na till tatu. Izo till tatu ndo utaziuza kwa watu kwa laki sabin then unatumia iyo main then unakula faida kote kote