Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Hiyo hela ndogo kama unataka line mpya.unatakiwa kuwa na TIN no na leseni ya biashara,kitambulisho then nenda kwa wakala mkuu au vodashop. Otherwise ununue kwa mtu .
 
Asante Mkuu.

TIN na leseni ya biashara nalipa sh ngapi na zinapatikana wapi?
 
ww nunua kwa mtu weka float anza biashara. kama unataka ya process nenda TRA omba TIN itakughalimu kama 35000.
 
Usimshauri kununua kwa mtu, jamaa anaweza kuiswap ikamrudia na pesa yako yote ikaenda. atafute leseni ya biashara ,tin, kitambulisho aende kwa wakala mkuu (nibure ataonyesha mtaji wake tu) labda leseni ndio itamgarim hela isiyozidi 40,000=
 
Wadau habari zenu..
Naombeni ushauri juu ya hii biashara ya kutoa na kuweka hela inayototewa na kampuni ya vodacom...Mimi ni muajiriwa katika taasisi moja inayofanya malipo yake mengi kwa kutumia mtandao huo...sasa nimepata line niliyouziwa na mfanyakazi wa vodacom kwa sh.170000/-lengo langu ni kufanya miamala inayofanyika na wateja wa taasisi yangu...ili niweze kupata commission kama wapatavyo mawakala wengine...
Sasa swali langu kwenu wadau je kwa miamala nitakayokuwa nafanya yaani kuwalipisha wateja kupitia line yangu ya uwakala bila kuwa naweka au kutoa hela malipo yake yakoje na je kuna shida yoyote kwa vigezo na masharti ya vodacom??
Nina uwezo wa kufanya miamala mpaka ya milioni kumi(10,000,000) kwa mwezi je commission yangu itakuwa bei gani kwa mwezi.....

Karibuni wataalamu wa mobile money transaction and commissions(vodacom) na wengine mnaojua chochote juu ya hii kitu mnisaidie michango yenu...Nina mtaji wa milioni 3..Asanteni
Tafta till kubwa sajil line yako kwenyewe utapata hela nzuri. Inauzwa laki saba. Faida yako itakuwa ni yako na kampun tu. Izo wanazouza laki na 70 unafaidika wewe, aluekuuzia line na kampun ya vodacom. Ukinunua ya laki saba unapewa main line na till tatu. Izo till tatu ndo utaziuza kwa watu kwa laki sabin then unatumia iyo main then unakula faida kote kote
Mkuu kama jumla ya miamala yako ni 10M usitegemee zaid ya laki kwa mwezi kama commission.

biashara ya MPESA kwa analysis yangu ni exploitation kubwa kwa mawakala, commission wanayopata mawakala ni ndogo sana wakati makampuni ya simu yanapata super normal profit.

Mkuu nakushauri kama unawezfanya biashara nyingne na hiyo million tatu ni bora ukafanya hivyo.

ukifanya economic analysis utagundua kuwa MPESA haina faida kwa mawakala.
Nimekuwa kwenye hii biashara kwa miaka 7 now, since inaanza 2010. Nilianza na zote mbili Tigo Pesa na M pesa. Nilikuwa na frame barabarani karibu na kituo cha mabasi. Nakumbuka commision ya kwanza ilikuwa 14,000 voda na 3000 tigo, nikaona upuuzi nikataka kuacha, ila sababu nilikuwa na biashara nyingine nikavumilia, in 6 months baada ya watu kuzoea, nilipata joint commission ya 450,000. Hapo nikashtuka nakuongeza mtaji, nakumba 2012 kuna mwezi niliingiza 800,000 voda na 750,000 tigo. Ilikuwa biashara ikiwa mbaya basi cshuki 1 million.
Nilikutana na changamoto nyingi, mwaka 2013 feb nilivamiwa na majambazi na kidogo nipigwe risasi, walichukua fedha nyingi sana. Ckukata tamaa, nikaanza upya. Nikaja kutapeliwa mara kibao, ikaja hii ishu ya kukatwa kodi, ila mpaka leo naendelea na hii biashara, japo hailipi sana kama zamani but inasaidia. Kwa sasa nina
1. M PESA
2. Tigo pesa
3. Airtel money
4. CRDB fahari huduma
5. Kifaa cha max malipo kwa ajili ya luku etc
So nikujipanga tu ndugu

Hii biashara cha msingi ni location nzuri,ambayo ina movement ya watu, ukiwa na uwezo wa kuhudumia watu si chini ya 50 kwa siku una uhakika wa kupata commision kwa line moja,mfano tigo si chini ya 800000. Upande wa luku nayo ni hivi hivo,ukifanya miamala mingi ya kuuza units mwisho wa mwezi commision inakuwa kubwa

SIGNATURE
 
Mkuu kama jumla ya miamala yako ni 10M usitegemee zaid ya laki kwa mwezi kama commission.

biashara ya MPESA kwa analysis yangu ni exploitation kubwa kwa mawakala, commission wanayopata mawakala ni ndogo sana wakati makampuni ya simu yanapata super normal profit.

Mkuu nakushauri kama unawezfanya biashara nyingne na hiyo million tatu ni bora ukafanya hivyo.

ukifanya economic analysis utagundua kuwa MPESA haina faida kwa mawakala.
Nimekuwa kwenye hii biashara kwa miaka 7 now, since inaanza 2010. Nilianza na zote mbili Tigo Pesa na M pesa. Nilikuwa na frame barabarani karibu na kituo cha mabasi. Nakumbuka commision ya kwanza ilikuwa 14,000 voda na 3000 tigo, nikaona upuuzi nikataka kuacha, ila sababu nilikuwa na biashara nyingine nikavumilia, in 6 months baada ya watu kuzoea, nilipata joint commission ya 450,000. Hapo nikashtuka nakuongeza mtaji, nakumba 2012 kuna mwezi niliingiza 800,000 voda na 750,000 tigo. Ilikuwa biashara ikiwa mbaya basi cshuki 1 million.
Nilikutana na changamoto nyingi, mwaka 2013 feb nilivamiwa na majambazi na kidogo nipigwe risasi, walichukua fedha nyingi sana. Ckukata tamaa, nikaanza upya. Nikaja kutapeliwa mara kibao, ikaja hii ishu ya kukatwa kodi, ila mpaka leo naendelea na hii biashara, japo hailipi sana kama zamani but inasaidia. Kwa sasa nina
1. M PESA
2. Tigo pesa
3. Airtel money
4. CRDB fahari huduma
5. Kifaa cha max malipo kwa ajili ya luku etc
So nikujipanga tu ndugu
 
Kweli hata mimi nimaona bora nikaweke huu mtaji wa mpeaa kwenye acc maalumu ya twiga nipate riba kuliko biashara ya kijinga kama M pesa. Mawakala wananyonywa sana. Risk kubwa mno mpaka kuhatarisha maisha kisha commision ya kipuuzi kabisa. Serikali ilipo ingiza kwenye kodi, voda badala ya kutoa kwenye faida yao, wameitoa kwa mawakala.. yaani inatia jasira, mara upate shot, mara uibiwe, mara miamala isikamilike uanze kusumbiana na voda halafu commision haifik hata laki mwezi mzima!!! Nonsense
 
Hii biashara kumbe ni yakipuuz hiv unacheza na pesa ming kumbe faida kidogo? Nilkuwa naifanyia mpango nianze hebu waliopo kwenye biashara hii endeleen kutujuza
 
Mkuu kama jumla ya miamala yako ni 10M usitegemee zaid ya laki kwa mwezi kama commission.

biashara ya MPESA kwa analysis yangu ni exploitation kubwa kwa mawakala, commission wanayopata mawakala ni ndogo sana wakati makampuni ya simu yanapata super normal profit.

Mkuu nakushauri kama unawezfanya biashara nyingne na hiyo million tatu ni bora ukafanya hivyo.

ukifanya economic analysis utagundua kuwa MPESA haina faida kwa mawakala.
Acha kukatisha watu tamaa hakuna biashara yenye faidi bila kuchakalika na kama ipo itaje tuone,
MPESA inalipa lakini chakuzingatia ni mtaji wa kutosha na location nzuri,
 
Wadau habari zenu..
Naombeni ushauri juu ya hii biashara ya kutoa na kuweka hela inayototewa na kampuni ya vodacom...Mimi ni muajiriwa katika taasisi moja inayofanya malipo yake mengi kwa kutumia mtandao huo...sasa nimepata line niliyouziwa na mfanyakazi wa vodacom kwa sh.170000/-lengo langu ni kufanya miamala inayofanyika na wateja wa taasisi yangu...ili niweze kupata commission kama wapatavyo mawakala wengine...
Sasa swali langu kwenu wadau je kwa miamala nitakayokuwa nafanya yaani kuwalipisha wateja kupitia line yangu ya uwakala bila kuwa naweka au kutoa hela malipo yake yakoje na je kuna shida yoyote kwa vigezo na masharti ya vodacom??
Nina uwezo wa kufanya miamala mpaka ya milioni kumi(10,000,000) kwa mwezi je commission yangu itakuwa bei gani kwa mwezi.....

Karibuni wataalamu wa mobile money transaction and commissions(vodacom) na wengine mnaojua chochote juu ya hii kitu mnisaidie michango yenu...Nina mtaji wa milioni 3..Asanteni
mimi naona kama hiyo miamala itakua haili muda wako na utakua unaimudu vizuri bila kuathiri ishu zako nyingine naona ifanye tu, maana hiyo hela ukiiweka bank mkuu riba yake kwa mwaka mzima haizidi 150,000 na ukinunua hisa hazipandi nazo hakuna faida yoyote ya maana, bodaboda ni risk tupu pia
100,000 kwa mwezi kwa 3,000,000 ni hela ndefu
 
Mimi Nilifanya kwa laki 5 nkawa napata laki moja na point wasikukatishe tamaa ni biashara iliyowatoa wangu m3 unaweza para commision Nzuri sana
 
Nimekuwa kwenye hii biashara kwa miaka 7 now, since inaanza 2010. Nilianza na zote mbili Tigo Pesa na M pesa. Nilikuwa na frame barabarani karibu na kituo cha mabasi. Nakumbuka commision ya kwanza ilikuwa 14,000 voda na 3000 tigo, nikaona upuuzi nikataka kuacha, ila sababu nilikuwa na biashara nyingine nikavumilia, in 6 months baada ya watu kuzoea, nilipata joint commission ya 450,000. Hapo nikashtuka nakuongeza mtaji, nakumba 2012 kuna mwezi niliingiza 800,000 voda na 750,000 tigo. Ilikuwa biashara ikiwa mbaya basi cshuki 1 million.
Nilikutana na changamoto nyingi, mwaka 2013 feb nilivamiwa na majambazi na kidogo nipigwe risasi, walichukua fedha nyingi sana. Ckukata tamaa, nikaanza upya. Nikaja kutapeliwa mara kibao, ikaja hii ishu ya kukatwa kodi, ila mpaka leo naendelea na hii biashara, japo hailipi sana kama zamani but inasaidia. Kwa sasa nina
1. M PESA
2. Tigo pesa
3. Airtel money
4. CRDB fahari huduma
5. Kifaa cha max malipo kwa ajili ya luku etc
So nikujipanga tu ndugu
 
Nimekuwa kwenye hii biashara kwa miaka 7 now, since inaanza 2010. Nilianza na zote mbili Tigo Pesa na M pesa. Nilikuwa na frame barabarani karibu na kituo cha mabasi. Nakumbuka commision ya kwanza ilikuwa 14,000 voda na 3000 tigo, nikaona upuuzi nikataka kuacha, ila sababu nilikuwa na biashara nyingine nikavumilia, in 6 months baada ya watu kuzoea, nilipata joint commission ya 450,000. Hapo nikashtuka nakuongeza mtaji, nakumba 2012 kuna mwezi niliingiza 800,000 voda na 750,000 tigo. Ilikuwa biashara ikiwa mbaya basi cshuki 1 million.
Nilikutana na changamoto nyingi, mwaka 2013 feb nilivamiwa na majambazi na kidogo nipigwe risasi, walichukua fedha nyingi sana. Ckukata tamaa, nikaanza upya. Nikaja kutapeliwa mara kibao, ikaja hii ishu ya kukatwa kodi, ila mpaka leo naendelea na hii biashara, japo hailipi sana kama zamani but inasaidia. Kwa sasa nina
1. M PESA
2. Tigo pesa
3. Airtel money
4. CRDB fahari huduma
5. Kifaa cha max malipo kwa ajili ya luku etc
So nikujipanga tu ndugu
Yaani we we ndo umemaliza.
Mimi mwenyewe ndo napiga mishe hizo ila nimeacha kidogo.Niko kijijini sasa,Nikimaliza ishu zangu huku naingia kazini.
Tigo ndo wanacommission nzuri than mitandao yote.
 
Tafta till kubwa sajil line yako kwenyewe utapata hela nzuri. Inauzwa laki saba. Faida yako itakuwa ni yako na kampun tu. Izo wanazouza laki na 70 unafaidika wewe, aluekuuzia line na kampun ya vodacom. Ukinunua ya laki saba unapewa main line na till tatu. Izo till tatu ndo utaziuza kwa watu kwa laki sabin then unatumia iyo main then unakula faida kote kote
 
Kitu kikubwa hapa ni MTAJI MKUBWA. Ukiwa na mtaji mkubwa utapata faida nzuri. Na jamaa hapo juu kaongea point nzuri sana, sajili line yako mwenyewe.
 
Biashara kichaaa...inakila aina ya vizingiti...mara Chuma ulete...mara majambazi yani ni shida
 
Tafta till kubwa sajil line yako kwenyewe utapata hela nzuri. Inauzwa laki saba. Faida yako itakuwa ni yako na kampun tu. Izo wanazouza laki na 70 unafaidika wewe, aluekuuzia line na kampun ya vodacom. Ukinunua ya laki saba unapewa main line na till tatu. Izo till tatu ndo utaziuza kwa watu kwa laki sabin then unatumia iyo main then unakula faida kote kote
Je hii ya main line na tigo pesa ndo hivyo au wenyewe wana utaratibu tofauti?
 
Huenda Maelezo yenu wote ni mazuri,lakini kwa kifupi tusiwadanhanye watu ,m PESA ukizungusha kiasi cha shilingi 3mil,huwezi pata laki kwa mwezi, kwa mfano mtu akitoa shilling elfu 10 unapata commission ya 60 tena kabla ya kodi ukikatwa kodi unabaki na km na shilling 35 shillings, kwa muamala wa elfu 10.so Fanya 35 ×10,000×30000000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom