Ukitapeliwa kupitia muamala fake - HasaraVipi kuhusu shoti?
Nasikia ina shoti balaa hii
ukihitaji mtu muaminifu niambie mm tuandikishiane ntakupeleka mpaka home ,serikali za mitaa kila kituvipi kuhusu kuibiwa na mfanyakazi kama huna mda wa ukaa mwenyewe akiwa na float ya tsh mil 3 si anaweza kutoroka nayo, namdibiti vip?
Ila chuma ulete nao wapo..Ukitapeliwa kupitia muamala fake - Hasara
watu wanatapeli mpaka laki8-1ml>
Ukiajiri binti/kijana mwizi - Hasara
Kijana/Binti mwenye kibri,Kauli mbaya kwa wateja _ Hasara
Mtu asiyejua mahesabu = Hasara
Mtu mzito kutumia simu= Hasara ,maana wateja wengi wanakuaga na haraka ukiwa sharp utawapata sana, mwingine ukimzoea anakuachia hela tu ,namba zake unakua nazo
Uaminifu,Mahesabu mazuri,umakini,customer care
utakuja kuleta mrejesho
Kuna zile hela wanaombeaga chenji sio za kuzichanganya na hela zingineIla chuma ulete nao wapo..
Maana kuna binti alikua anafanya hii
Alikua yupo care saana kwenye mahesabu yupo vizuri sana..
Hazidishi hapunguzi hela
Tatizo likawa linakuja kwenye kufunga hesabu jioni lazima akute hela zimepungua
Ila ilikua inatokea baadhi ya vipindi sio kila siku
Na kama zikianza hizo shoti basi zitafululiza hata wiki nzima
zikianza unakuta leo 15000haionekani mara kesho 30000 siku ingine 5000
Duuhh kwahiyo mkaa husaidia hela zisipoteeKuna zile hela wanaombeaga chenji sio za kuzichanganya na hela zingine
halafu kwenye droo ya hela wanawekaga mkaa
NdioDuuhh kwahiyo mkaa husaidia hela zisipotee
asante ntakutafutaukihitaji mtu muaminifu niambie mm tuandikishiane ntakupeleka mpaka home ,serikali za mitaa kila kitu
Naomba nutumie Mkuu tafadhaliOk sawa
Unapatikana wapi? Tunaweza ingia ubia tukanunua tukafanya kazi?Ningekua na salio ningezinunua mkuu
Minahitaj Vodacom niko sumbawanga inapatkana?Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.
TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini
Karibuni
Voda nimeiuza jana mkuu,samahani kwa usumbufuMinahitaj Vodacom niko sumbawanga inapatkana?
Aiseeee sidhan kama itapatikana nyingine. Kama itapatikana ntakustua maana mi nmekula advance kabisa ya jamaa ili jmosi niitume Tunduma. So ikipatikana ntakujulisha mkuuAcha mambo yako haipatkan nyingne
Kwa kila muamala?Biashara nzuri hii....kariakoo sister angu alikuwa anapata faida milioni mbili kwa kila muamala
YesKwa kila muamala?
Hapana sio kila muamala. Unaposema muamala unamaanisha "transaction" yaan mteja akiweka au kutoa pesa basi unapata 2M
Ok....sikuelewa may be vizuri basi!Hapana sio kila muamala. Unaposema muamala unamaanisha "transaction" yaan mteja akiweka au kutoa pesa basi unapata 2M