Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Vipi kuhusu shoti?
Nasikia ina shoti balaa hii
Ukitapeliwa kupitia muamala fake - Hasara
watu wanatapeli mpaka laki8-1ml>

Ukiajiri binti/kijana mwizi - Hasara
Kijana/Binti mwenye kibri,Kauli mbaya kwa wateja _ Hasara

Mtu asiyejua mahesabu = Hasara
Mtu mzito kutumia simu= Hasara ,maana wateja wengi wanakuaga na haraka ukiwa sharp utawapata sana, mwingine ukimzoea anakuachia hela tu ,namba zake unakua nazo

Uaminifu,Mahesabu mazuri,umakini,customer care

utakuja kuleta mrejesho
 
Ila chuma ulete nao wapo..
Maana kuna binti alikua anafanya hii
Alikua yupo care saana kwenye mahesabu yupo vizuri sana..
Hazidishi hapunguzi hela
Tatizo likawa linakuja kwenye kufunga hesabu jioni lazima akute hela zimepungua
Ila ilikua inatokea baadhi ya vipindi sio kila siku
Na kama zikianza hizo shoti basi zitafululiza hata wiki nzima
zikianza unakuta leo 15000haionekani mara kesho 30000 siku ingine 5000
 
Kuna zile hela wanaombeaga chenji sio za kuzichanganya na hela zingine
halafu kwenye droo ya hela wanawekaga mkaa
 
TILL ZINAUZWA

Tigo(tigopesa) -120,000/=
Airtel(Airtel money) -100,000/=
Halotel(halopesa)- 70,000/=

pia maelewano yapo!.
 
Niwashukulu sana wote mliochangi, nimepata uelewa wa kutosha ahsanteni sana!
 
Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.

TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini

Karibuni
Minahitaj Vodacom niko sumbawanga inapatkana?
 
Acha mambo yako haipatkan nyingne
Aiseeee sidhan kama itapatikana nyingine. Kama itapatikana ntakustua maana mi nmekula advance kabisa ya jamaa ili jmosi niitume Tunduma. So ikipatikana ntakujulisha mkuu
 
Back
Top Bottom