Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Ukitapeliwa kupitia muamala fake - HasaraVipi kuhusu shoti?
Nasikia ina shoti balaa hii
watu wanatapeli mpaka laki8-1ml>
Ukiajiri binti/kijana mwizi - Hasara
Kijana/Binti mwenye kibri,Kauli mbaya kwa wateja _ Hasara
Mtu asiyejua mahesabu = Hasara
Mtu mzito kutumia simu= Hasara ,maana wateja wengi wanakuaga na haraka ukiwa sharp utawapata sana, mwingine ukimzoea anakuachia hela tu ,namba zake unakua nazo
Uaminifu,Mahesabu mazuri,umakini,customer care
utakuja kuleta mrejesho