Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Naitaji kufunguakisehe na kutoa huduma ya M-Pesa. Utaratibu siujui naomba nisaidiwe.
 
Unahitaji leseni ya biashara, kitambulisho cha nida, TIN ya mlipa kodi, namba ya kawaida iliyosajiliwa kwa jina lako. Fika ofisi za vodacom ukiwa na nakala za hizo document.
 
Kwa maelezo niliyoyapata kwa wadau ni kwamba zinachukua muda mrefu sana kuja kuzipata, sijui kuna ukweli hapo
Ni kweli, tumezoea hapa Tanzania mkono mtupu haulambwi. Ila through the power of money, you can get them in a single day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…