Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
For sure mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For sure mkuu
Mkuu unaona harakati zangu tunawahi kukutana katika biashara hii matatizo Yani kila nikiamua kuanza
Mkuu pambana uanze, acha uoga, thubutuMkuu unaona harakati zangu tunawahi kukutana katika biashara hii matatizo Yani kila nikiamua kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
www.magaribay.com
Mkuu nakupa mrejesho PM wa kamishen upate hamasa ya kuanza hii biznessMkuu unaona harakati zangu tunawahi kukutana katika biashara hii matatizo Yani kila nikiamua kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nakupa mrejesho PM wa kamishen upate hamasa ya kuanza hii bizness
Sent using Jamii Forums mobile app
ili ukadiriwe kodi kidogo waambie unahitaji TIN kwa ajili ya kupata laini za uwakala za jina lako, nenda kajaribu it works. Kuna rafiki yangu alitumia mbinu hiyo walimkadiria 15,000 tuMkuu Radical habar.Niko nafuatilia hili swala pia kwa sasa.ningependa kupata mbinu ili nikadiriwe kodi kidogo pale tra.
Sent using Jamii Forums mobile app
ili ukadiriwe kodi kidogo waambie unahitaji TIN kwa ajili ya kupata laini za uwakala za jina lako, nenda kajaribu it works. Kuna rafiki yangu alitumia mbinu hiyo walimkadiria 15,000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ili ukadiriwe kodi kidogo waambie unahitaji TIN kwa ajili ya kupata laini za uwakala za jina lako, nenda kajaribu it works. Kuna rafiki yangu alitumia mbinu hiyo walimkadiria 15,000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua line kwa mtu. Anza kaziNaitaji kufungua mpesa utaratibu siujui naomba nisaidiwe.
Nikiinunua na ikitokea imepotea nafanyaje,ningependa nipate ya jina langu.Nunua line kwa mtu. Anza kazi
Milioni mojaTaja mtaji wako na taarifa zako zote
Kwa maelezo niliyoyapata kwa wadau ni kwamba zinachukua muda mrefu sana kuja kuzipata, sijui kuna ukweli hapo
Ni kweli, tumezoea hapa Tanzania mkono mtupu haulambwi. Ila through the power of money, you can get them in a single day.Kwa maelezo niliyoyapata kwa wadau ni kwamba zinachukua muda mrefu sana kuja kuzipata, sijui kuna ukweli hapo