Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Wakuu habari za Leo nawasalimu wote

Nimepata wazo la biashara kama ifuatavyo

M pesa
Tigo pesa
Airtel money
Luku

Nataka Kuwa na Kibanda Mahali Naomba Ushauri juu ya mradi guy wangu wazoefu
 
Wakuu habari za Leo nawasalimu wote

Nimepata wazo la biashara kama ifuatavyo

M pesa
Tigo pesa
Airtel money
Luku

Nataka Kuwa na Kibanda Mahali Naomba Ushauri juu ya mradi guy wangu wazoefu
Mtaji wako unasoma ngapi??
 
Kwangu mm nimeona nianze Na hyo Biashara nikshakomaa ktk biashar nitaangalia wap nitaingia
 
Labda bado sijawaelewa.
Wanalipaje? Mf nikizungusha mil6 kwa mwez faida ni kias gan
 
Nina line ya mpesa wakala njoo inbobo nikuuzie ukapige hela
 
Naomba kuuliza wana jukwaa, hivi unavofanya biashara ya m-pesa, faida inapatikanaje?
Hata ndo maswali yanayohtajika JF: Nkupe kidogo, ukiwa na pesa yako cash na float, utawahudumia Wateja wako kuqeka au kutoa fedha. Kampuni ya voda itakupa kamisheni kulingana na idadi ya Wateja unawaohudumia na kias cha fedha. Lkn mtsji wako hauchukuliwi hata sent. Fedha yako itacheza ama kwenye simu ya wakala ama mkinoni mwa wakala. Iwapo fedha ya mkononi itakwisha manake iko kwenye simu na unaweza omba Benji wakupe cash, hali kadhalika ikiisha float unaweza omba benki wakuwekee kwa kuwapa cash. Nasubr kama una swali zaid. Maana pande hizi nimebobea.
 
Back
Top Bottom