Hii biashara mkuu haihitaji hasira, hawa wahudumu ndio ambao wanawakandamiza RAIA..uizi wao kwa mawakala ni hivi;
1. Comission wanayotoa haiendani na miamala unayoifanya kwa mwezi.....hadi mvutane vutane
2. Unaweza tumiwa Ujumbe wa malipo ya comission lakini pesa yenyewe hawaitumi. Kwahiyo usipoangalia salio inakuwa imekula kkwako
3. Watu wengi sana hukupigia simu na kujitambulisha kwamba wanapiga simu toka makao makuu aidha vodacom/Tigo, hapa kuna njia nyingi za kuibia endapo hutowagundua mapema
4..hawa watoa Huduma hupeana namba ya simu ya kwako (Wakala), wanapanga namna ya kukuibia ila watawapa watu wengine namba ili wawasiliane na wewe...kwa malengo ya kukutapeli