Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Heshima kwenu wanabodi, naomba kujuzwa ni 'distance' ipi wakala hatakiwi kumtumia au kumwekea mteja pesa(float)? Hili ni suala ambalo linanitatiza sana kwasababu hata ukiwapigia voda wenyewe hawakuambii zaidi ya kukujibu kuwa hutakiwi kumwekea mteja pesa kama hajaja na simu yake. Swali la pili, je! Kuna makato yeyote kwa wakala wa m pesa ikiwa mteja atatoa pesa akiwa mbali? Kwa mfano wakala yuko Singida halafu mteja akatoa pesa akiwa Mwanza ili ndugu yake apokee. Karibuni sana wajuzi!
 
Fanya kazi,acha uoga!voda wapuuzi sana ukiwafutilia!
 
piga kazi... wanataka makamisheni ya utoaji wakate kate maela hapo... jaribu kuangalia kama salio lako limepungua...? kila unapo enda kuingiza pesa au mtu kutoa pesa una ulizwa umbali? mbona hawarudishi pesa...

na walifanya hivyo pia kwa ajiri ya utapeli wa huko nyuma...
 
Heshima kwenu wanabodi, naomba kujuzwa ni 'distance' ipi wakala hatakiwi kumtumia au kumwekea mteja pesa(float)? Hili ni suala ambalo linanitatiza sana kwasababu hata ukiwapigia voda wenyewe hawakuambii zaidi ya kukujibu kuwa hutakiwi kumwekea mteja pesa kama hajaja na simu yake. Swali la pili, je! Kuna makato yeyote kwa wakala wa m pesa ikiwa mteja atatoa pesa akiwa mbali? Kwa mfano wakala yuko Singida halafu mteja akatoa pesa akiwa Mwanza ili ndugu yake apokee. Karibuni sana wajuzi!
Kwa mtazamo wangu katazo hilo linasaidia kuepusha utapeli, ni rahisi mtu kufanya utapeli kwa kutoa pesa yy akiwa mwamza ww dar kisha akasema ametoa kimakosa ataeleweka na kupewa msaada since mnara alio mtoaji nitofauti na alipo wakala so epuka wanaotoa hela wakiwa mbali, ila kutuma hata kama unaemtumia yupo mbali ilimradi tu namba iwe sahihi huwa hakuna shida
 
Asante mkuu nimekuelewa kuhusu kuepuka utapeli, lakini hili la kutuma pesa kwa mtu wa mbali wanadai kuna makato kwenye kamisheni yako mwisho wa mwezi kulingana na thamani ya muamala.
 
Mimi pia nipo kwa hii biashara sijawahi ona bio kitu kivile and kumbuka ukikataa ww mteja anaenda kwa wakala mwenzio anapiga kazi, ishu hapa nikumtaka mteja awe makini na namba anayokutajia ili kuepuka kukosea
Unakumbaka mavitabu tunliyopewa formal nimuhimu kwaajili ya kutunzia kumbukumbu ila vuta picha unaanza habari za kusainishana na wayeja kwenye folwni wapo kama kumi, kama hawatakukimbia sijui
So chakujifunza nikuwa unapambana na hali liyopo kwa muda huo
 
Ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo ili kuwa wakala wa M-pesa?
 
Ukitaka laini isomeke jina lako unatakiwa uwe na tin namba ya biashara pamoja na leseni ya biashara hapo watakutengenezea laini yenye jina lako, paia utatakiwa kuwa na mtaji utakao utumia kwenye biashara hio ila kuna option ambapo wengi wananunua laini zenye majina ya watu wengine
 
Hata ndo maswali yanayohtajika JF: Nkupe kidogo, ukiwa na pesa yako cash na float, utawahudumia Wateja wako kuqeka au kutoa fedha. Kampuni ya voda itakupa kamisheni kulingana na idadi ya Wateja unawaohudumia na kias cha fedha. Lkn mtsji wako hauchukuliwi hata sent. Fedha yako itacheza ama kwenye simu ya wakala ama mkinoni mwa wakala. Iwapo fedha ya mkononi itakwisha manake iko kwenye simu na unaweza omba Benji wakupe cash, hali kadhalika ikiisha float unaweza omba benki wakuwekee kwa kuwapa cash. Nasubr kama una swali zaid. Maana pande hizi nimebobea.
Na laini ya uwakala wa M-Pesa inasajiliwa kwa shilingi ngapi?
 
Hii laini kwa kawaida inatolewa bure ukienda vodashop sema vigezo na masharti ya kupata hiyo laini ukiyatimiza inaonekana ni kama umeinunua hiyo laini.
Kwa haraka vigezo navyovifahamu
1.uwe na kitambulisho voter,uraia au lesen
2.uwe na Till number
3.leseni ya biashara
4.mtaji usiopungua 1M ambayo nusu watakuwekea kwenye lain na nusu utabaki Nayo mkononi ,
Asante
 
Shukrani sana mkuu.
 
Habarini ndugu zangu, naomba mnisaidie jinsi ya kupata laini ya uwakala wa MPESA, nipo mkoa wa, mbeya.
 
Kama upo serious nichek 0653958292 tafadhali kuwa serious
 
Back
Top Bottom