zugazuga na mimi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 241
- 77
weka swali vzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma ujinga wako alafu Fanya edit!haueleweki kabsa!umelewa balimi?Jaman hivi mnatimu leader wa mtandao ya simu
Kwa mtazamo wangu katazo hilo linasaidia kuepusha utapeli, ni rahisi mtu kufanya utapeli kwa kutoa pesa yy akiwa mwamza ww dar kisha akasema ametoa kimakosa ataeleweka na kupewa msaada since mnara alio mtoaji nitofauti na alipo wakala so epuka wanaotoa hela wakiwa mbali, ila kutuma hata kama unaemtumia yupo mbali ilimradi tu namba iwe sahihi huwa hakuna shidaHeshima kwenu wanabodi, naomba kujuzwa ni 'distance' ipi wakala hatakiwi kumtumia au kumwekea mteja pesa(float)? Hili ni suala ambalo linanitatiza sana kwasababu hata ukiwapigia voda wenyewe hawakuambii zaidi ya kukujibu kuwa hutakiwi kumwekea mteja pesa kama hajaja na simu yake. Swali la pili, je! Kuna makato yeyote kwa wakala wa m pesa ikiwa mteja atatoa pesa akiwa mbali? Kwa mfano wakala yuko Singida halafu mteja akatoa pesa akiwa Mwanza ili ndugu yake apokee. Karibuni sana wajuzi!
Asante mkuu nimekuelewa kuhusu kuepuka utapeli, lakini hili la kutuma pesa kwa mtu wa mbali wanadai kuna makato kwenye kamisheni yako mwisho wa mwezi kulingana na thamani ya muamala.Kwa mtazamo wangu katazo hilo linasaidia kuepusha utapeli, ni rahisi mtu kufanya utapeli kwa kutoa pesa yy akiwa mwamza ww dar kisha akasema ametoa kimakosa ataeleweka na kupewa msaada since mnara alio mtoaji nitofauti na alipo wakala so epuka wanaotoa hela wakiwa mbali, ila kutuma hata kama unaemtumia yupo mbali ilimradi tu namba iwe sahihi huwa hakuna shida
Wapuuzi kivipi mkuu?Fanya kazi,acha uoga!voda wapuuzi sana ukiwafutilia!
Mimi pia nipo kwa hii biashara sijawahi ona bio kitu kivile and kumbuka ukikataa ww mteja anaenda kwa wakala mwenzio anapiga kazi, ishu hapa nikumtaka mteja awe makini na namba anayokutajia ili kuepuka kukoseaAsante mkuu nimekuelewa kuhusu kuepuka utapeli, lakini hili la kutuma pesa kwa mtu wa mbali wanadai kuna makato kwenye kamisheni yako mwisho wa mwezi kulingana na thamani ya muamala.
Ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo ili kuwa wakala wa M-pesa?Mimi pia nipo kwa hii biashara sijawahi ona bio kitu kivile and kumbuka ukikataa ww mteja anaenda kwa wakala mwenzio anapiga kazi, ishu hapa nikumtaka mteja awe makini na namba anayokutajia ili kuepuka kukosea
Unakumbaka mavitabu tunliyopewa formal nimuhimu kwaajili ya kutunzia kumbukumbu ila vuta picha unaanza habari za kusainishana na wayeja kwenye folwni wapo kama kumi, kama hawatakukimbia sijui
So chakujifunza nikuwa unapambana na hali liyopo kwa muda huo
Ukitaka laini isomeke jina lako unatakiwa uwe na tin namba ya biashara pamoja na leseni ya biashara hapo watakutengenezea laini yenye jina lako, paia utatakiwa kuwa na mtaji utakao utumia kwenye biashara hio ila kuna option ambapo wengi wananunua laini zenye majina ya watu wengineNi vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo ili kuwa wakala wa M-pesa?
Na laini ya uwakala wa M-Pesa inasajiliwa kwa shilingi ngapi?Hata ndo maswali yanayohtajika JF: Nkupe kidogo, ukiwa na pesa yako cash na float, utawahudumia Wateja wako kuqeka au kutoa fedha. Kampuni ya voda itakupa kamisheni kulingana na idadi ya Wateja unawaohudumia na kias cha fedha. Lkn mtsji wako hauchukuliwi hata sent. Fedha yako itacheza ama kwenye simu ya wakala ama mkinoni mwa wakala. Iwapo fedha ya mkononi itakwisha manake iko kwenye simu na unaweza omba Benji wakupe cash, hali kadhalika ikiisha float unaweza omba benki wakuwekee kwa kuwapa cash. Nasubr kama una swali zaid. Maana pande hizi nimebobea.
Hii laini kwa kawaida inatolewa bure ukienda vodashop sema vigezo na masharti ya kupata hiyo laini ukiyatimiza inaonekana ni kama umeinunua hiyo laini.Na laini ya uwakala wa M-Pesa inasajiliwa kwa shilingi ngapi?
Unazo hizo line mkuu?0718776676 nitafute
Shukrani sana mkuu.Hii laini kwa kawaida inatolewa bure ukienda vodashop sema vigezo na masharti ya kupata hiyo laini ukiyatimiza inaonekana ni kama umeinunua hiyo laini.
Kwa haraka vigezo navyovifahamu
1.uwe na kitambulisho voter,uraia au lesen
2.uwe na Till number
3.leseni ya biashara
4.mtaji usiopungua 1M ambayo nusu watakuwekea kwenye lain na nusu utabaki Nayo mkononi ,
Asante