Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Huwa unapata laki 6 kwa mwezi kwa mtaji wa laki 5?Mkuu Wateja wengi tulio nao huwa wanatoa na kuweka kiasi kidogo sana
Mi huwa natumia mtaji kidogo na huwa napata faida kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa unapata laki 6 kwa mwezi kwa mtaji wa laki 5?Mkuu Wateja wengi tulio nao huwa wanatoa na kuweka kiasi kidogo sana
Mi huwa natumia mtaji kidogo na huwa napata faida kubwa
Yaani mleta uzi ana mtaji mkubwa sanaNingekua na mtaji wa mtoa mada wallah ningejilipua sehemu smart kabisa
Na miamala midogo ndio yenye faida sana Kuliko hiyo mikubwaMkuu Wateja wengi tulio nao huwa wanatoa na kuweka kiasi kidogo sana
Mi huwa natumia mtaji kidogo na huwa napata faida kubwa
Mkuu kwa sasa nilisha punguza mtajiHuwa unapata laki 6 kwa mwezi kwa mtaji wa laki 5?
Na huo ndio uhalisia muhimu mzunguko tu mtaji si mali kitu na mleta mada akiwa mvumilivu miezi mitatu tu biashara hii inampa mtaji mkubwa zaidi me nilianza na laki Na nusu tena nikiwa na line moja kila mwezi nilikua si chini ya 60 elfu commission saa Hizi mtaji umekua kama 400k line zipo mbili najipatia laki 80 safi kwa mweziYaani mleta uzi ana mtaji mkubwa sana
Mi nilianza na mtaji wa 30,000/
Nilipata kamisheni 11260
Mwezi ulio fuata niliongeza mtaji ukawa 50,000/ nilipita kamisheni 35760
Na kwa wakati huo kamisheni haikuwa kubwa kama saizi
Mkuu naomba unisaidie jinsi ya kukokotoa hizo commissionsNa miamala midogo ndio yenye faida sana Kuliko hiyo mikubwa
Fikiria mteja wa tigo mmoja akiweka 50k unapata 480 kama commission
Ila wakija wateja 10 wa 5000 kuweka unatengeneza 2000 kasoro kama commission huo mfano mdogo tu
unakimbia ela au umeona hailipi?Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.
TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini
Karibuni
Yaani wale Wateja wakubwa huwa tunahudumia kwa kuwa ni Huduma ila napenda Wateja wa nao weka kidogo kidogoNa miamala midogo ndio yenye faida sana Kuliko hiyo mikubwa
Fikiria mteja wa tigo mmoja akiweka 50k unapata 480 kama commission
Ila wakija wateja 10 wa 5000 kuweka unatengeneza 2000 kasoro kama commission huo mfano mdogo tu
Nmeeleza hapo juu kuwa nilianza biashara kwa kununua TILL za mtu mwaka juzi. Mwezi wa kwanza mwaka huu nlituma maombi ya till zangu ndo nmezipata leo hivyo naziuza hizi mpya maana tayar ninazo nlizonunua kwa mtu,nauza kuongeza mtaji kama ningekuwa na pesa ya kutosha ningefungua ofisi nyingineunakimbia ela au umeona hailipi?
Hii biashara inalipa sana kinacho takiwa ni uvumilivu na kujua changamoto zakeNa huo ndio uhalisia muhimu mzunguko tu mtaji si mali kitu na mleta mada akiwa mvumilivu miezi mitatu tu biashara hii inampa mtaji mkubwa zaidi me nilianza na laki Na nusu tena nikiwa na line moja kila mwezi nilikua si chini ya 60 elfu commission saa Hizi mtaji umekua kama 400k line zipo mbili najipatia laki 80 safi kwa mwezi
Mkuu hizi commission zinaenda na ukubwa wa muamala husika ila tu wateja wa Kuweka kwako ndio wana commission kubwa kidogo kuliko wa kuwawekea wewe kwenye simu zaoMkuu naomba unisaidie jinsi ya kukokotoa hizo commissions
Utakuwa umetusaidia sana
Nakutumia ya vodaMkuu naomba unisaidie jinsi ya kukokotoa hizo commissions
Utakuwa umetusaidia sana
Ukweli mtupu mkuu cha muhimu uvumilivu na umakini nachopenda hii biashara hata ukope hela ya mtu kuongeza mtaji wako wala Hupati shida akitaka chake unampa ila ukiwa tayari unatengeneza faida safiHii biashara inalipa sana kinacho takiwa ni uvumilivu na kujua changamoto zake
Ukisha jua changamoto na ukawa na kauli nzuri kwa Wateja muda mfupi unajikuta umesha anza kula matunda
Na mimi naisubir mkuuNakutumia ya voda
Ukitumia till.za mtu navyojua mm malipo huwa yapo chini coz inakua inakatwa katwa..tofauti na ukiwa na till zako. Sasa nakushangaa mzee baba. Hyo biashara ni biashara kichaaa tunapeana moyo tu hapa ili watu waingie kingiNmeeleza hapo juu kuwa nilianza biashara kwa kununua TILL za mtu mwaka juzi. Mwezi wa kwanza mwaka huu nlituma maombi ya till zangu ndo nmezipata leo hivyo naziuza hizi mpya maana tayar ninazo nlizonunua kwa mtu,nauza kuongeza mtaji kama ningekuwa na pesa ya kutosha ningefungua ofisi nyingine
Nazoziuza ni mpya kabisa atakayezinunua ndio atazitoa kwenye vikasha vyake
Uliza usaidiwe kuelewa mkuu!. Nadhani huna uelewa kuhusu hii biashara mkuuUkitumia till.za mtu navyojua mm malipo huwa yapo chini coz inakua inakatwa katwa..tofauti na ukiwa na till zako. Sasa nakushangaa mzee baba. Hyo biashara ni biashara kichaaa tunapeana moyo tu hapa ili watu waingie kingi
We jamaa.acha kumpoteza mwenzio.Kubeti unaweza ukapata zaidi ya hiyo mkuu!ila kwa m.pesa faida yake ni ndogo sana
Na mimi voda nahitaji mkuuNakutumia ya voda
Mkuu biashara sometimes ujanja ujanja unatakiwa na kuwa na kauli ya kibiashara ...kama biashara anadhani anaweza kuifanya aifanye hivyo hivyo hata kama atahudumia wateja wa 50,000 na mteja wa 500,000, akija wa million ambao ni wachache atajua namna ya ku-deal nao maana navyojua kama mtu ni mwaminifu sometimes huwa anapokea hela na kumpa namba ya wakala mwingine ili kuweza kumuaminisha mteja siku nyingine aje maana wenye vibanda vya huduma hizi wengi level zao hizo hizo za laki moja ama mbili inategemea na location.Mkuu utafanyaje muamala wa 2milions wakat una mtaji wa 500,000?. Si utamwambia mteja sina cash au sina float ili aende kwa mwingine?. Kuwa reality mtaji una umuhim sana ili ufanye miamala mingi otherwise utasubir wa 50,000 au 20,000 akija wa million huwez muhudumia
Sijaelewa hapa "wateja wa kuweka kwako"Mkuu hizi commission zinaenda na ukubwa wa muamala husika ila tu wateja wa Kuweka kwako ndio wana commission kubwa kidogo kuliko wa kuwawekea wewe kwenye simu zao