Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

mbona saiv huyo kisbo ana biluzwa na tungis na Allys
Sent using Jamii Forums mobile app
 
higer gan ya dar lux inasumbua kanda ya ziwa zile ni polo za kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ndo maana mchina mwenye horse power 360 anaachwa vizuri tu na Scania yenye horse power 310
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe ndo maana mara nying anaongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia ile ya kijivu?

Alafu sio ndefu kama uliyoweka hapo[emoji121]
Iko moja tu.

Mchina yule,

Mwenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa natafuta mtu mwenye mawazo haya
 
na ndo maana mchina mwenye horse power 360 anaachwa vizuri tu na Scania yenye horse power 310

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea na mchina hp zake zimepimiwa at rpm kiasi gani..cheki michina utaona ni 2200rpm engine ya saizi hiyo hiyo kwanzia cc na number of cylinder kutoka scania inasoma hp zake kwenye 1900 au 1800rpm ..

Hata ukichek power graph or torque graph utaona scania ya hp 310 zimetofautiana kidogo sana na l360 20 cummins ..

Max torque ya l360 20 ni kama 1430 kama haijafika 1500nm

Comparison ya chinese bus na msweeden fanya kutoa 50hp kwenye gari ya kichina inayobaki ndo u kompee na sçania hiyo

Eg cummins 300hp minus 50hp ni 250hp so perfomance ya scania yenye hp hizo eg f250 ni kama cummins ya 300hp ..sio kutunga ..formula imekuja kulingana na kila mtu anavotengeneza na kupima hp zake ..kama huamin kaangalie power graph ya engine zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…