Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

IO alphani reason kurutu IO anataka kuhesabu watu yeye ana taka kuwapiga dosso af doss lenyewe washakataza oh oh kesi ilikuwa ngumu
🤣🤣🤣Mwasa hajawahi kumodoa material . Halfan anajitunisha sana. Kujitolea au wale broiler?😁
 
😂😂😂 acha tu ndio jicho lake af mwenyewe toka utotoni alikuwa ana sema wewe ndio utakae kuja kunisaidia hao wengine buree
Awe makini asije akajichanganya siku ukifa akaanza kusema Bora wangekufa wenzio we ubaki
 
🤣🤣🤣Mwasa hajawahi kumodoa material . Halfan anajitunisha sana. Kujitolea au wale broiler?😁
Ahaha si alikamatwa akiwachangisha kurut pesa ili doss lipungue 😂😂 walichomfanya wakaunganisha kombania zote kazi ikaendelea
 
Awe makini asije akajichanganya siku ukifa akaanza kusema Bora wangekufa wenzio we ubaki
😂😂 ata umia sana sijabarikiwa sana kama wenzangu ila na mkumbuka toka nipo mdogo up now ndio maana akili yake ipo kwangu najua kujali

Kipindi nipo mtoto alitaka kunipiga sasa katika kukimbia si nikarusha jiwe likampata jichoni uwezi amini kesho yake niko shule nalia mwenyewe wakati narudi nyumbani nikaenda kwenye miembe ya watu nikaboboa maembe nika mpelekea sasa wakat nampa nikaanza kulia duh akaniombea pale ikawa mtu akitaka nifokea kuhusu ilo swala anakuwa mkali sana
 
Anyandwile kwa kifupi ni NYANDU ndio huyo kaboresha yeye wa mjini anajiita NYANDU TOZI ila wanyaki kufupisha ni NYANDU
 
Bi mkubwa hapo akapiga hesabu zake akaona umejutia makosa na Una huruma! Usimwangushe bhana,baraka zetu nyingi zinatoka kwa wazazi wakifurahi na Sisi mambo yetu yanatuendea vizuri!
 
Ndomyana- kijana wa kiume
Nsajigwa -mbarikiwa
Nsaji -mbariki
 
Bi mkubwa hapo akapiga hesabu zake akaona umejutia makosa na Una huruma! Usimwangushe bhana,baraka zetu nyingi zinatoka kwa wazazi wakifurahi na Sisi mambo yetu yanatuendea vizuri!
Sure tumletee mapacha asee
 
Silisyene, Mwakapwisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…