Basi hii nzuri,inabidi tuige huo utamaduni tuache kuita watoto wetu IANMajina yote ya kilugha kwa wanyakyusa walitoa kutokana na tukio Fulani,mfano kuna ndugu yetu alipewa jina la tukhatele likiwa na maana tumechoka.alipewa jina Hilo kutokana na mama yake alikuwa akizaa watoto wanakufa,kwa hyo alivyozaliwa yeye wakasema wamechoka kuzika.mfano kyela kuna sehemu inaitwa ipyana jina Hilo lilikuja kutokana na wajerumani walikuwa wanawapa zawadi wazawa.wenyeji wakasema watu hawa wanna hekima.kwa majina ya sehemu au jina la mtu kuna tukio au sababu mpaka ikaitwa hivyo.
AaaahGalula kwa mama ifuko kwa baba πππ
Nimesomea mkwajuni hapo nimechezea Sana hayo maeneoGalula kwa mama ifuko kwa baba πππ
Mimi mama yangu alinipa jina la DR alie msaidia wakat wa kujifungua kama shukrani kwa DRBasi hii nzuri,inabidi tuige huo utamaduni tuache kuita watoto wetu IAN
Dah wewe wa nyumban kabisa wwAaaah
Nimesomea mkwajuni hapo nimechezea Sana hayo maeneo
Sana kaka kibungu huniteti na labda hata tunafahamianaDah wewe wa nyumban kabisa ww
π€π€π€π€Hapana tutamuita uswege tu π
Ahaha unaweza kuwa una fahamu ukoo wetu maarufu sana ila mm mzaliwa wa mjini ππSana kaka kibungu huniteti na labda hata tunafahamiana
Ahahah si utanisamehe auπ€π€π€π€
Wakati huo Baba ushamtia mimba mchepuko,basi unashindwa kuomba msamaha live live unaishia kukaita katoto uswege!!!
Hapo bi mkubwa aliupiga mwingi!!Mimi mama yangu alinipa jina la DR alie msaidia wakat wa kujifungua kama shukrani kwa DR
Kwa maelezo yake ana sema yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji pale hospital pia hakuwa na ndugu mkoa huo alikuwa mgeni so DR alimsaidia sana na kidonda chake hakikuwai kupona ndio akaamua anipe jina la Dr kama shukraaniHapo bi mkubwa aliupiga mwingi!!
Aaah wapi lazima ulipie hiyo!!Ahahah si utanisamehe au
Kweli kakaAhaha unaweza kuwa una fahamu ukoo wetu maarufu sana ila mm mzaliwa wa mjini ππ
π€£π€£π€£π€£ Na nani? Chanzo kitakua kurutuMwasaliba niachie ndugu yangu πππ mwaka jana alitaka kuzi chapa
Nalipia kwa kununulia nywele kwa UNCLE T pale na vacation in paris hapo uchomoiAaah wapi lazima ulipie hiyo!!
Mwashiuya kama ushawasikiaKweli kaka
Kwa jinsi alivyokupata kwa Tabu,lazima uwe mwanae kipenzi hata kama hasemi mdomoni!Kwa maelezo yake ana sema yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji pale hospital pia hakuwa na ndugu mkoa huo alikuwa mgeni so DR alimsaidia sana na kidonda chake hakikuwai kupona ndio akaamua anipe jina la Dr kama shukraani
IO alphani reason kurutu IO anataka kuhesabu watu yeye ana taka kuwapiga dosso af doss lenyewe washakataza oh oh kesi ilikuwa ngumuπ€£π€£π€£π€£ Na nani? Chanzo kitakua kurutu
πππ acha tu ndio jicho lake af mwenyewe toka utotoni alikuwa ana sema wewe ndio utakae kuja kunisaidia hao wengine bureeKwa jinsi alivyokupata kwa Tabu,lazima uwe mwanae kipenzi hata kama hasemi mdomoni!