Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam!

Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii hujitokeza katika NDOTO hasa NDOTO mbaya.

Kwa muktasari huo naomba kuwajulisha, kuwapa kinga ama dawa isiyo na masharti yoyote wala vinasaba vya uchawi au shetwani.

Chukua kipande cha Mkaa weka ndani ya Mto/Pillow yako kisha lala, hio ndio dawa ya Ndoto mbaya, na nuksi zingine zinazo ambata nawe nyakati za kulala.

Inshallah ikawe heri Mungu awasaidie nyote muwe mnalala vizuri pasipo mazonge yoyote.

Wadiz katika afya na amani ya usingizi bila ndoto chafu.
 
Hapa using ili hauji na shuka zangu nyeupe na mito meupe. Kwanza
1. Je kinatakiw kiwe na ukubwa gani hicho kipande cha mkaa?

2. Je nikimeza utakuwaje? Yan kuraisisha nikimeze hicho kipande cha mkaa. .
Nipande kidogo mfano robo inchi au kama garage, chochote tu hata kikubwa
 
Hapa using ili hauji na shuka zangu nyeupe na mito meupe. Kwanza
1. Je kinatakiw kiwe na ukubwa gani hicho kipande cha mkaa?

2. Je nikimeza utakuwaje? Yan kuraisisha nikimeze hicho kipande cha mkaa. .
Aisee! Umeze?? 😂
 
Rafiki nimeeleza vizuri hutaota ndoto mbaya na mwenye dhamira mbaya hawezi fanya kitu anavurungwa
Watu na tiba zenu za asili haya sawa mkuu, maana unasema tu watu wabaya ndoto mbaya haulezei nini kinatokea mpaka mtu uote ndoto mbaya, hapo ndio umeniacha mida ya wanga hii unajua?
 
Watu na tiba zenu za asili haya sawa mkuu, maana unasema tu watu wabaya ndoto mbaya haulezei nini kinatokea mpaka mtu uote ndoto mbaya, hapo ndio umeniacha mida ya wanga hii unajua?
kama unapatwa na ndoto mbaya mfano unaota unavamiwa, na ndoto zote mbaya hio inazuia usipate hizo ndoto, hii elimu ya darasa sifuri mistake elimu za degree, maelezo yako very clear
 
kama unapatwa na ndoto mbaya mfano unaota unavamiwa, na ndoto zote mbaya hio inazuia usipate hizo ndoto, hii elimu ya darasa sifuri mistake elimu za degree, maelezo yako very clear
Hio matrix ya ndoto mbaya ndio umeniacha mkuu, mkaa unakataje shombo la ndoto mbaya au haujanielewa? How explain maana hakuna anaeamua leo naota ndoto mbaya hutokea tu automatically
 
Back
Top Bottom