Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

Wasalaam!

Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii hujitokeza katika NDOTO hasa NDOTO mbaya.

Kwa muktasari huo naomba kuwajulisha, kuwapa kinga ama dawa isiyo na masharti yoyote wala vinasaba vya uchawi au shetwani.

Chukua kipande cha Mkaa weka ndani ya Mto/Pillow yako kisha lala, hio ndio dawa ya Ndoto mbaya, na nuksi zingine zinazo ambata nawe nyakati za kulala.

Inshallah ikawe heri Mungu awasaidie nyote muwe mnalala vizuri pasipo mazonge yoyote.

Wadiz katika afya na amani ya usingizi bila ndoto chafu.
Mkaa,carbon unasaidia Nini kuepusha ndoto,unaingiliaje utendaji wa ubongo,?au ni mambo ya kumeza meza TU,
 
Umaskini haswa wa kiuchumi na fikra huwaga na mambo mengi sana,,mara mapepo,,,mara tuuziwe mafuta koroboi moja kwa sh 30000,,,,kulialia,,lawama,,,visirani vya Hovyo,,,utabiritabiri,,ramliramli za hovyo ndio tunazowazaga,,sasa mkaa na ndoto wapi na wapi??
 
Ttzo mnapenda sana ushirikina sasa mkaa na ubongo wap na wap punguzeni shiriki bado vijana wadogo
 
Mind over Matter..., Ukiamini chochote kitakupa Peace of Mind na lolote litatokea....

Ukiamini huo Mkaa una nguvu basi hizo nguvu utazipata Why ? Sababu unaamini....

Na hio ndio misingi ya Imani zote iwe Dini, Uchawi, au Mizimu ya mababu zako (its the source of confidence or lack of) Kwahio kwa faida ya Jamii inayokuzunguka jaribu kuamini vitu ambavyo vina tija wala haviumizi wanaokuzunguka....
 
Wasalaam!

Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii hujitokeza katika NDOTO hasa NDOTO mbaya.

Kwa muktasari huo naomba kuwajulisha, kuwapa kinga ama dawa isiyo na masharti yoyote wala vinasaba vya uchawi au shetwani.

Chukua kipande cha Mkaa weka ndani ya Mto/Pillow yako kisha lala, hio ndio dawa ya Ndoto mbaya, na nuksi zingine zinazo ambata nawe nyakati za kulala.

Inshallah ikawe heri Mungu awasaidie nyote muwe mnalala vizuri pasipo mazonge yoyote.

Wadiz katika afya na amani ya usingizi bila ndoto chafu.

Sisi tunaotumia sweta tukashindilia huko magunia inafaa pia?
 
KAMA HUNA CONECTION NA HIZI IMANI NAOMBA USIINGIE MKENGE..kama unazo conection na chale chale kwenye mwili wako tumia mkaaa sijui mfupa sijui nini....kama huna konection piga wine chupa ndogo vuta ganja kidogo sana puff kula konyagi au bia zakuchosha akili kidogo lalaa...kimoja kati ya hivyo
 
Unaepuka ndoto za mashetani unaota unakimbizwa na maafisa wa maliasili na Tfs
 
Wasalaam!

Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii hujitokeza katika NDOTO hasa NDOTO mbaya.

Kwa muktasari huo naomba kuwajulisha, kuwapa kinga ama dawa isiyo na masharti yoyote wala vinasaba vya uchawi au shetwani.

Chukua kipande cha Mkaa weka ndani ya Mto/Pillow yako kisha lala, hio ndio dawa ya Ndoto mbaya, na nuksi zingine zinazo ambata nawe nyakati za kulala.

Inshallah ikawe heri Mungu awasaidie nyote muwe mnalala vizuri pasipo mazonge yoyote.

Wadiz katika afya na amani ya usingizi bila ndoto chafu.
Sio hilo tu,

Kabla hata ya kuingia chumbani kulala tafuta mfupa hata mdogo tu au jino la Nguruwe ufukie mlangoni chini au uweke chini ya dekio au ndani ya kiatu kisha weka mlangoni ulale

Hiyo haizuii tu ndoto mbaya Bali hata Uchawi wa kila namna

Wabillah Tawfiq,
 
Back
Top Bottom