Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

Hii ni Chemistry, Physics, Biology au nini?

Inafanya kazi vipi?

Huyo Mungu unaweza kuthibitisha yupo?
 
Watu wanakula mkaa Mzee hujawah ona. Kweli wewe wa mjini. Ukimeza kinakuw tumboni mda wote mikosi inakaa mbali.
Duuh ndio naipata hio unamezaje mkaa na huo mkaa unakaa muda wote huko tumboni au niaje? Wewe mtata unanipiga maswali kumbe unajua zaidi?
 
Hio matrix ya ndoto mbaya ndio umeniacha mkuu, mkaa unakataje shombo la ndoto mbaya au haujanielewa? How explain maana hakuna anaeamua leo naota ndoto mbaya hutokea tu automatically
Muhimu weka hicho kipande Cha Mkaa kwenye Mto wako basi
 
Zero subjects myth that really works
Mkuu mimi naachana na ujinga, nasoma articles zangu za Bigthink, pamoja na kuongeza chapters fulani muhimu katika vitabu vya maana.

Ujinga hauishi na siwezi kutaka kujibizana na kila mchawi kila nikiitwa kufanya hivyo.

I have very limited time and so much to do.
 
Hii ni Chemistry, Physics, Biology au nini?

Inafanya kazi vipi?

Huyo Mungu unaweza kuthibitisha yupo?
Unanivuruga kuhusu Mungu angalia imani yako wewe mtukutu sana bhana
 
Sasa kama unajua yote hayo umefata nini kwenye thread ya mwenzio kama sio ujuaji we kimaa
 
You have not lived ur words in a practical sense, have u acted subconsciously momentarily? Life with with dynamics has caught you up involuntarily!!
 
Mchawi anakwambia uweke mkaa chini ya mto hawa jamaa wana trick mbaya za kutuhadaa hawa, weka mkaa kesho uamke umechoka vibaya hujiwezi mara una fibroids zinakuendesha
 
Imani za kishirikina. Ukiamini ujinga huu hata ukilala na kipande cha jiwe au mavi ya kuku utalala tu.Ni suala l a imani mfu
 
Imani za kishirikina. Ukiamini ujinga huu hata ukilala na kipande cha jiwe au mavi ya kuku utalala tu.Ni suala l a imani mfu
meaning attachment defines everything circumstantially. Take sides situationally and live a happy life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…