Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mwenye roho mbaya hajitaji...pambana tu na hali yako....
 
Kwani mpumbavu ni mtu gani? Kwa swali alilouliza na uzi nilioutoa huoni kama ni mpumbavu?
ulishindwa nini kumjibu kistaarabu?

Ungemwambia tu kama lipo au halipo au ungepita kimya kwa faida yako.

Humu wachangiaji wengi wakiona lugha zisizokuwa na stara hushindwa kuchangia na hivyo utakuwa unajikosha mambo mazuri bure.
 
Daah mkuu nawe umenikomalia! Aya sawa sitakuwa nawajibu kabisa!

Happy??
 
Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
 
Ridhika jinsi ulivyo tu inatosha kwa maana unaweza kuongeza mwili ukaja kujutia hapo baadae
 
Hahahahaaaa
Shingo ka Kitimoto
Inshort kuutafuta mwili rahisi xana kuliko kuupunguza
barabara.
mm mpaka najiuliza ilikuwaje nilikonda
kupata mwili ni veruvery simple...
kuuondoa sasa ndio kazi ,maana huwezi kuacha kula na kubwa zaidi huwezi kuubana moyo hapo ndo pagumu
 
Naona unammwandalia njia kulekea kwenye Magonjwa Yasiyokuwa ya Kuambukizwa.
 
Bwana kakuacha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…