Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Habarini JF Doctors!

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Mimi ni msichana wa miaka 24! Ila mwili wangu hausadifu miaka yangu!
Yaani ni mwembamba mno.

Na hata kilo zangu ni utata jamani nina kilo 40!
Nilishawahi kutumia vidonge vya kuongeza kilo na hamu ya kula but haijasaidia kitu!

Honestly, sina stress, sina roho mbaya na wala sio mvivu kula!

Naomba nielezwe kama kuna dawa ya uhakika ya kuongeza mwili na kilo!

Nitashukuru sana!
Pole sana binti.

Jitahidi ufanye haya.

-Jitahidi kunywa vitu vya baridi

-pendelea kuoga maji ya baridi.

-ongeza kiasi cha chakula na idadi ya milo.

-pendelea kula vyakula vyenye mafuta.

-usipende kufanya mazoezi

-usitembee umbali mrefu.

-pata muda mrefu wa kupumzika.
 
Wee kaka unaonekana mkorofi khaa! Mbona wengine wametoa ushauri na hawajaomba picha?
Toa picha wacha porojo, basi hata kwa nyuma,tunaweza kua tunahangaika kukushauri kumbe ni issue nyingine inayohitaji kusoviwa na 4figure
 
Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.

mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb

lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...

jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo
 
Pole sana binti.

Jitahidi ufanye haya.

-Jitahidi kunywa vitu vya baridi

-pendelea kuoga maji ya baridi.

-ongeza kiasi cha chakula na idadi ya milo.

-pendelea kula vyakula vyenye mafuta.

-usipende kufanya mazoezi

-usitembee umbali mrefu.

-pata muda mrefu wa kupumzika.
Ameen! Asante kwa ushauri
 
Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.

mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb

lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...

jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo
Hahahha!

Nimekupenda bibiee

Ngoja nianze kupotezea ya ulimwengu sasa
 
Wazazi wana miili yao mikubwa tuu!

Sijui ni kwamba walikua hawanilishi vzr wanakula wao tuu...

Unapenda? Ngoja tuyajenge lool
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] thats cool[emoji11]
 
Roho mbaya unaijua?
roho mbaya ni kutoridhika na maisha yako...
usiuchoshe moyo wako ,bwaga moyo kula unachopenda sio maharage na wali daily....
kula chochote unachotaka ukitaka chips,soda,sijui piza
kama una bwana kakuacha tupa huko
bosi anakununia tupa kule
yani bwaga moyo mpaka mwisho.

mm nilikua mwembamba sana kidogo mbavu zihesabike, nilikuaga kama nna ngoma au Tb

lakini baada ya kugundua kuwa nauchosha moyo wangu
saivi nnavokwambia niko kama labda jokate,mtindi mtindi shingo kama kitimoto...

jiachie dada kama kuna japo linakutatiza litoe ,bwaga moyo kula vitu vinono utanenepa dada...
mm saivi nataka kupungua nashindwa maana hata nisipokula nmebwaga moyo

thts all mamy !umesema ukwel kbs tupu ! naishi km ww sijali kitu aiseee !
 
Usijaribu kuongeza mwili kwani ukisha kuwa na mwili MKUBWA pia huwa inakuletea usumbufu usio wa lazima. Lakini kwa kwa umeomba ushauri ngoja ni kushauri hivi.

Kama una taka kupata mwili wa haraka rejea kwenye topolics za bailogy kuna kitu kina itwa malnutrition dis orders .hapa utajifunza mambo mengi ya husuyo hali mabalimbali za mwili zisizo kuwa za kawaida ,ikiwemo hiyo ya obesity yaani unene kupindukia au ongezo la mwili lisilo la kawaida .

Sasa kwani utumie njia hii huu ni ukweli usio pingika kwamba kuna mahusiano makubwa saana kama aio ya moja kwa moja yaliyopo baina ya kula saana na ongezeko la mwili . ukijaribu kufanya utafiti utagundua kwamba watu wengi wenye miili mikubwa ni wale tu ambao hutumia chakula kingi na hupendelea kula kula Mara kwa Mara bila ya utaratibu maalumu .

Sasa basi kwa msingi huo jaribu na hiyi mbinu uone kama inaweza kukufaa kwani Mimi mwenyewe nili itumia baada ya kukaaa katika ukondefu kwa muda kitu ambacho kiliwafanya wengi wakanibatiza jina la ( kantalya ) maana ake asiye kula . lakini niliopo anza urafi wa kula basi na mm sasa walau Nina kimwili Fulani hivi cha kuitwa baba watoto . jaribu Dada angu kula saana huwa hakumuachi MTU salama
 
Hahahaaa! Umenifurahisha mkuu!

Ngoja nianze ulafi nadhan itasaidia
 
Back
Top Bottom