Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mhhh!Kuwa na mwili wa kawaida,unakuwa mwepesi kwa kila kitu.Fanya mazoezi ya kujenga mwili wako ukae vizuri.Kaa mbali na kitu kinaitwa Obesity.
Hata nifanyeje mie kwenye Obesity siwezi kufika.
Nataka tu vinyama nyama kiasi
 
Kwa mwanamke ni rahisi sana tu. Anzisha biashara ya mama lishe ama mgahawa, matokeo lazima yajibu.
Ushaona mamantilie kimbaumbau? Fanya utafiti usio rasmi.
😂😂😂 wewe wapo tena wa kutosha
 
Ila kwa kweli sikatai. Kwetu sisi wabantu mwanamke mnene ana heshima zake. Na siyo anaheshimiwa na wanaume tu, hata wanawake wenziye wanamheshimu pia.
Hmm maybe, ila me sitaki unene asee
 
Hata nifanyeje mie kwenye Obesity siwezi kufika.
Nataka tu vinyama nyama kiasi
Kwa nilivyogundua unataka mwili fulani wa kawaida uliojazia maeneo ya kati.Fanya mazoezi ya kuongeza buttocks,kula chakula kawaida.

NB; Mazoezi yanahitaji discipline sana
 
Ale nyama na kubeba vyuma na mazoezi mazito . Atafute zile protein placements kwenye maduka ya vyakula au pharmacy
nmekupata shemeji...ntalifanyia kazi suala lako japo ni mvivu sana wa kunyanyua hivyo vitu vizito
 
Hakikisha kila asubui kabla hujala chochote mile, kunywa Lita moja ya maji ya moto. Na usiku kabla hujalala. Kwenye Yale maji usiweke chochote kile...
 
Back
Top Bottom