Fahamu mzunguko halisi wa Jua na Sayari zinazolizunguka

Ni kitu gani kinachosababisha hicho kivuli/giza kwenye hiyo dunia tambarare?
Jibu Ni dogo sana Kwamba Dunia ni Giza siku zote hivyo Huu ya Dome iliyopo kuna Hizo jua na mwezi.. zikizunguka kwa Ying Yang movements
Kwahyo dunia ni Flat with a Dome
 
Kwa arguments zako utahitaji picha nipige mimi pia na hata ukioneshwa picha utakataa, sioni haja ya wewe kuoneshwa picha. 2/ Kuita theoretical physics philosophy ni upungufu wa akilli, I suppose you have no idea what an empirical evidence is You kept assuming one just wakes up kisha anaanza kuongea kama unavyofanya wewe na flat eather wenzako.
Nikurekebishe hapo unaposema nimekwambia nimeziona (collect your facts usibwabwaje)
Unataka nifike kwenye mwezi why? I have observed kivuli cha dunia during eclipse and it's round wewe unasema iko flat sijuwi kupatwa kwa mwezi unaielezea vipi!?
Unataka kuiona gravity ndo uamini kama ipo, have you seen Oxygen? Have you seen Hydrogen? Have you seen electricity? Have you seen Radio waves? Have you seen sound? Have you seen Heat? How do you explain Radio transmission and you've never seen Radio waves?? Wewe ndo kama dokta mwenzako sule anayewaambia watu mawasiliano yanafanywa na majini stupid mindset.
What do you think holds the moon in its orbit?? Why do you think you have weight? Chukua puto jaza hewa weka kwa maji why do you think it floats? Ni upthrust, have you seen it? Is it not there??
It's fun unaona hata mkojo wako unaenda chini and you doubt wether there's gravity or not?
Back'n school, tuliweza kutafuta muda goroli itafika chini ukiiachia kutoka kwa inclined plane on our Math we had gravity as one of the terms and gues what we precisely estimated the time
Tuliweza kupredict how many oscillations a pendulum can make in a given time Mathematically and we had "gravity in our Math'' and guess what, SUCCESS
We designed a quadcopter, tuliestimate flight time per charge and guess what our Math had "gravity" as one of the terms, can You guess!! SUCCEEDED, sasa wewe umekaa unabishana na hujuwi how things work and you have guts kuongea shits on Math.

Nikurekebishe pia, theory hazitungwi kama falsafa and are supposed to be Mathematically provable and supported by Empirical evidence sio kama watu wenu wa falsafa wanaamua tu dunia iko flat, in science we have theories, laws and principles kitu nyinyi hamuelewi
 
Mkuu kabla hatujafika huko kwanza

Unaweza kunipa sababu za MSINGI kabisa kwanini inadanganywa kwamba dunia ni duara?

Na ni akina nani hao β€œwanaodanganya” dunia ni duara na kwa maslahi yapi?
Na ni akina nani wanaodanganywa dunia ni duara?
Nimejibu Hili swali kwa Comments #90
 
Jibu Ni dogo sana Kwamba Dunia ni Giza siku zote hivyo Huu ya Dome iliyopo kuna Hizo jua na mwezi.. zikizunguka kwa Ying Yang movements
Kwahyo dunia ni Flat with a Dome
View attachment 3143302
Kwa hiyo picha uliyoweka, hilo jua lilipo inawezekanaje sehemu nyingine ya dunia ikawa na giza wakati mwanga unaweza kufika katika eneo lote la tambarare?
 
Hujajibu swali bado, hizo data did you do those calculations or umezichukuwa pia???
Unasema tunakaririshwa meanwhile wewe kuna msela mwingine na maandiko yake ukayachukuwa kama yalivyo.
Kwenye mijadala kama hii ni heri kubishana kwa facts kuliko kuanza kusema eti watu x wamekaririshwa meanwhile wewe mwenyewe hukuwahi kutoka na kushuhudia flat earth, unaleta data ambazo ukiletewa unazipinga what's your point Mr doct?
 
Kwani dactar anasema dunia ni flat mkuu
 
Mkuu, naomba utuletee picha yako uliyopiga mwenyewe ambayo siyo CGI ambayo inaonyesha dunia ni flat...
 
Mmmmh we jamaa ni ticha ...?
 
Yaani hapa mkuu umemaliza kila kitu, ngoja tumsubiri arudi...
 
Sijasema Picha Upige wewe We nionyeshe tu Realistic Picha..

And By the way lets see U achokiita Kivuli cha Dunia Unachokiona Kwenye mwezi..

sijalataa na Sijawahi kukataa kwamba kivuli ni cha Duara, So do Earth..Narudia Tena Earth kuwa Flat haimaanishi Ipo kama Shamba la Bustani ila ni Kama disc ambayo nimekuambia Juu its a Dome like ambayo Hubeba Hizo nyota na Jua na mwezi..

so ulichokiona Ni sawa kabisa ni kivuli cha Dunia (The flat disc)..

All this Are Impacted in your Brain and Made you feels its really something happening but sure am telling you Nothing Thing like Gravity..

Wakiona Something Goes against what they thinking lets say something goes Against Gravity watakuambia Hiyo ni centrifugal force..
Watakuambia Kuhusu Dark energy et al shtuka...

Maana Failed Theory is the Formulation of Another antagonistic ones
 
Kwa hiyo picha uliyoweka, hilo jua lilipo inawezekanaje sehemu nyingine ya dunia ikawa na giza wakati mwanga unaweza kufika katika eneo lote la tambarare?
Nimetoa ufafanuzi kwenye Post ya Nyuma Na Jibu lako mbna Ni simple sana soma Ufafanuzi #122

Ila kwa kifupi ni kwamba Jua Halina Ukubwa Huo unaoudhania so Mwanga wake hauwezi kufika pote..
Chukua Boski la Mita 500 Chukua Bulb ya Taa ya kawaida Iwashe kwa upande mmoja Huku unaizungusha je Mwanga utakuwa Kote kwenye boksi ya Duara la Mita 500??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…