Hiyo ya matrack ni kweli mie kuna jamaa alikuja for masters from ghana.sasa akawa amenitumia msg facbk maana aliniona ninasoma same chuo ambacho alikuwa anakuja...akaniuliza kuhusu accomodation nikampa ujanja wa kupanga nje kuliko kulala uni hostels ambazo ziko expensive
Alikaa for 6 month akaniambia kuna daf kaupata online nimsindikize atakiwekea mafuta kwenye gari yangu...
Iko hivi, wale wanapewa mkopo wa kusoma.. so kwa sababu alipata temp job kiwandani akaona hela ya accomodation na ya kula atatafuta so akaamua atoe £5500 ya pesa ya mkopo then home wakamtumia £1500 akanunua daf safi kabisa akanunua na matairi used akaijaza ikaenda ghana..ila hiyo hela alikuja nayo hatutafuta pale...ulaya zamani hela zilikuwepo ila baada ya magypsy kuja (slovekia,poland na wengine) kazi nyingi zimekuwa ngumu