Fahamu Tier 1 entrepreneur Visa in the UK

Yaani ww jamaa una akili Kama zangu yaani.yaani mm nikienda ulaya nitaenda kwa mchongo wa kueleweka na sitakaa zaidi ya 3 years,yaani napiga mkwanja fasta narud kuwekeza bongo.
Bongo ukiwa smart maisha rahisi ila ulaya hakutabiriki wasomi Ni wengi sana na ushindani mkubwa.
Mkuu bado hujaenda ulaya??
 
Mjomba nimeishi hapo maisha nayajua fika....hiyo £20,000 mpaka uipate yote mkononi we basi ujue unafanya kazi zaidi ya daladala.labda upate a permanent job sio hizi temp za kwa agencies..
Mi hadi driving licence ninayo ya Uk na nina level 2 food safety ya viwandani nimepiga sana viwanda vya mikate...na nilikuwa napata kazi kirahisi kwa sababu nilikuwa na gari yangu so agency atakuwa anakupigia kila saa maana anajua utaenda faster kazini kuliko hao wanaosubiri public transport.
Nimefanya hadi kazi za kudeliver chinese foods ambazo unapiga from 5pm till 9pm na hukosi £40. Hapo bado vikazi nyingine.
Ila hizo ££ ziko na majini maana mfumo wa hiyo mchi huwezi save hela lazima uspend ili uchumi uendelee kukua..
Nashukuru Mungu nimejifunza mengi sana hapo ulaya hadi siku narudi bongo nilipanda ndege ya klm kwa £100 tu zile za kudukuliwa na wanaigeria [emoji28][emoji28].. nimeuza rav 4 old huku bongo so nina uzoefu wa kuendesha motor way hadi the busiest road m25 nimeendesha kisa nasaka maisha....nimeendesha na provisional licence for 2 good yrs bila kukamatwa maana uongo wote na ujanja nilikuwa naujua.
Ila hapo maisha hakuna wengi wanaishia kupoteza muda tu
Huwa wanafanya hivi
Monday to Friday uko supermakert 23:00 - 07:00 una fanya shelf refill
Ukifika hapo unaenda kulala. Ukiamka unaenda office cleaning 2 hours kabla hujakwenda tena supermakert.

Weekend unakuwa kitchen porter restaurant
Supemakert utapata 1,100 kwa mwezi Hii ni main income huigusi
Office cleaning itakupa £500 unasaidia kodi ulipofikia
Kitchen porter utapata £450 hii ndiyo ya swaga.
Hali hii ifanye kwa miaka miwili tu. Zaidi ya hapo utaugua.

Ukiweka 1,100x20months
 
Nimeipenda akili yako ilivyo kubwa ...naomba namna nzuri ya kufika huko.
 
Hapo sasa usiwe na student visa uwe na makaratasi ndo utaweza...ila kwa mgeni ni ngumu hadi ufikie kupata documents za ajira kama hizo
Kingine office cleaning nimefanya for 3 yrs kipindi niko shule. 5-8am. Then 6pm -8pm. Shida ukipata kama hiyo ya 23-7.00 inabidi uache hiyo ya 5-8am. Niliacha hiyo ya asubuhi maana nilikuwa nachoka kama nikishida library alafu niwe na kipindi cha saa nne.
Maisha ya huko ni utumwa tu....we unafanya kazi huna muda wa kukaa na kula bata unawaza shift tu....

Unaongea na mwenye documents ambae hayuko kwenye benefit. Unafanyia kazi miaka miwili tu.
 
Hiyo miaka miwili inapotea kisa kusaka documents..na uhakika wa kazi hauna hapo maximum ni 5 yrs mpaka mambo yawe sawa ya lugha na vitu vingine.
Hiyo miaka kwa bongo unakuwa ushapiga hatua...mi nina mshikaji yupo huko ana uraia na ana masters ila anafanya kazi ambayo hata kuongea hapa naona noma....kazi za kulelea wazee....shida yake kakaa ulaya zaidi ya 15 yrs ila kinge hakipandi kabisa tenses ni shida akienda interview anabounce....
Kuna kipindi exim ,nmb na company zingine zilikuwa zinakuja uk kuajiri wanaomaliza huko fo bongo...
Sasa jamaa wa exim ukienda anakuandika jina lako tu ukimwambia mambo ya kumpa vyeti anakuuliza kwan hujui kusoma na kuandika ? [emoji28]
Ukishakuja bongo unapewa ajira.

Hii nimeiona kwa Waghana ndiyowanavyoinuana. Ukimuona mtoto wa mjomba hana kazi unamvuta anafanyia kazi jina lako kwa miaka miwili. Na wenyewe mara nyingi wakipata mshiko wana nunua ma track na kuyasafirisha nyumbani.
 
Ilikuwa zamani ndugu.ulaya ya sahv haina kiti kama zamani...huyo theresa may alivyokuwa waziri wa mambo ya ndani ndo alitibua kila kitu...watu wa vyuo vinavyoeleweka wakapewa 21 hrs a week na wale wa vicollege wakafutiwa working hrs.hapo ndo wageni wengi hasa wabongo waliporudi makwao....maaana hata kuja bongo likizo tu kama upo london then siku ya kurudi ukapitia manchester au birmingham lazima wapige simu huko kwenye hicho kicollege kuuliza kama wanakutambua...wakisema hawakujua ujue unarudi kwenu...ndo maana wengi sana waliokuwa college enzi hizo wanaambiwa kabisa ukitoka nje ya uk kurudi tena inaweza kula kwako.
All in all ni kupoteza muda tu kama bongo uko na mchongo.
We nenda ulaya ukale bata then urudi ila kuishi huko ni utumwa...

Hiyo ya matrack ni kweli mie kuna jamaa alikuja for masters from ghana.sasa akawa amenitumia msg facbk maana aliniona ninasoma same chuo ambacho alikuwa anakuja...akaniuliza kuhusu accomodation nikampa ujanja wa kupanga nje kuliko kulala uni hostels ambazo ziko expensive
Alikaa for 6 month akaniambia kuna daf kaupata online nimsindikize atakiwekea mafuta kwenye gari yangu...
Iko hivi, wale wanapewa mkopo wa kusoma.. so kwa sababu alipata temp job kiwandani akaona hela ya accomodation na ya kula atatafuta so akaamua atoe £5500 ya pesa ya mkopo then home wakamtumia £1500 akanunua daf safi kabisa akanunua na matairi used akaijaza ikaenda ghana..ila hiyo hela alikuja nayo hatutafuta pale...ulaya zamani hela zilikuwepo ila baada ya magypsy kuja (slovekia,poland na wengine) kazi nyingi zimekuwa ngumu

Wabongo hatuko aggressive na life, we are not fighters. Wanigeria wanahakikisha wanazalia UK ili watoto wawe wazawa.

Wana omba kusoma masters ili tu watoto wapate elimu ya bure. Mama ana defer masters mara tatu ili tu aongeze muda wakati watoto wanasoma bure.

Hii inamjenga mtoto kwa lugha na exposure, hata wakirudi kwao University mtoto anateleza.
 
Hapo umenena mkuu...watu wa west wako vizuri sana...
Ila kwa bongo muda unaopoteza kupata huo uzawa ni mwingi ukija pata huo uzawa wale uliowaacha bongo unakuwa walishakuacha kimaendeleo.
Time is money...ila kama huna mchongo na hutaki tena kurudi bongo then ni bora kujilipua.
Wabongo hatuko aggressive na life, we are not fighters. Wanigeria wanahakikisha wanazalia UK ili watoto wawe wazawa.

Wana omba kusoma masters ili tu watoto wapate elimu ya bure. Mama ana defer masters mara tatu ili tu aongeze muda wakati watoto wanasoma bure.

Hii inamjenga mtoto kwa lugha na exposure, hata wakirudi kwao University mtoto anateleza.
 
Hiyo ya matrack ni kweli mie kuna jamaa alikuja for masters from ghana.sasa akawa amenitumia msg facbk maana aliniona ninasoma same chuo ambacho alikuwa anakuja...akaniuliza kuhusu accomodation nikampa ujanja wa kupanga nje kuliko kulala uni hostels ambazo ziko expensive
Alikaa for 6 month akaniambia kuna daf kaupata online nimsindikize atakiwekea mafuta kwenye gari yangu...
Iko hivi, wale wanapewa mkopo wa kusoma.. so kwa sababu alipata temp job kiwandani akaona hela ya accomodation na ya kula atatafuta so akaamua atoe £5500 ya pesa ya mkopo then home wakamtumia £1500 akanunua daf safi kabisa akanunua na matairi used akaijaza ikaenda ghana..ila hiyo hela alikuja nayo hatutafuta pale...ulaya zamani hela zilikuwepo ila baada ya magypsy kuja (slovekia,poland na wengine) kazi nyingi zimekuwa ngumu
Mkuu mtaishia kusema Ulaya zamani wakati watu wanatengeneza pesa. Sasa nikuambie Care jobs. Kuna care agency za kueleweka kama New Cross. Hawa ndiyo wale wa 12-15 kwa saa. Wanigeria na wazimbabwe wanakamata mzigo kwa wiki wanachukua £700-800 baada ya tax. Akikusanya 10,000 anakwenda kupumzika kwao miezi mitatu si ajabu anajenga nyumba kwanza.
Ukiishi kwa style hii mtaani huonekani. Day off unakuwa umechoka unalala tu.

Tena ukiwa ba gari New Cross utazikusanya pesa.
 
Mkuu bado hujaenda ulaya??
Bado sijaenda ulaya mkuu.
Sitaki kukurupuka kwenda kuishi Kama mkimbizi,labda nipate mchongo ambao nitasaini mkataba kabla sijainua mguu wangu bongo.
Au niende kutembea Kama wanavyokwenda akina Dangote au Mo dewji.
Vinginevyo bora nibaki bongo niendelee kulala usingizi mnono kwenye kibanda changu bila ghasia.
 
Mkuu usidanganye watu waambie tu ukweli....sahv kama huna documents uk...hao ukborder agency wapo kila kona kusaka wahamiaji haramu...makazini wamepewa sheria kali ukiajii mtu kama hana vibali vya kazi wanapigwa fine ya £ 10,000. Hapo sasa unaona mwenyewe hali ilivyo ngumu.
Kipindi cha nyuma watu walikuwa wanaflash passport chooni wanasingizia wao wamekimbia vita.ila sahv baada ya kufingerprint labda ukate vidole maana wakiscan tu wanapata details zako zote hadi unapoishi...
We unaongelea nyie mliozamia miaka hiyo...uk ya sasa ni njaa tu.
Zamani watu walikuwa waenda hadi libya then unapanda meli hadi ufaransa na maitaly ila sahv unaona mwenyewe idadi ya vifo vya wahamiaji haramu baharini na jumuiya ya ulaya imeteam up kukabiliana na wahamiaji haramu...
Kwa mtu wa nje kuingia uk,sydney,canada au marekani bila sababu ya kueleweka hiyo sahau.
China yenyewe sahv nayo haitaki wahamiaji haramu..visa zao za kusafiria hawatoi kirahisi kama zamani
Mkuu mtaishia kusema Ulaya zamani wakati watu wanatengeneza pesa. Sasa nikuambie Care jobs. Kuna care agency za kueleweka kama New Cross. Hawa ndiyo wale wa 12-15 kwa saa. Wanigeria na wazimbabwe wanakamata mzigo kwa wiki wanachukua £700-800 baada ya tax. Akikusanya 10,000 anakwenda kupumzika kwao miezi mitatu si ajabu anajenga nyumba kwanza.
Ukiishi kwa style hii mtaani huonekani. Day off unakuwa umechoka unalala tu.

Tena ukiwa ba gari New Cross utazikusanya pesa.
 
Mjomba hizi inabidi ujipige basic knowledge ya agriculture au care skills kwenye internet kwani wana interview. Once you are in training zote watakupa na katika siku saba za wiki ukijiongezs kwingine kwa hizo siku mbili unaweza kunyoosha maisha.

Come and we stay Ulaya inafanyika ili kusave kodi.
Inategemea malengo yako ni nini. Waghana wakiingia wanaitwa na cousin ambae ana Vibali . Cousini anajiregister kwa Agency kama tatu halafu amuachia msala.
Unapiga mzigo unarudisha nauli ya cousin na wewe inaanza kuweka. Baada ya miezi 24 unaondoks na kitu £20,000 ni mtaji wa maana
Duh sio chin ya milioni mia4 hii,
 
Back
Top Bottom