kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Expansion joint ni kitu gani?Kwa ramani hiyo. Mimi msingi nimetumia milioni tano na point mkuu.
Hakika fundi anaenijengea yuko vizuri. Ingawa jirani yangu hapa naona boma lake lina expansion joint za kutosha kwa ndani
Plint beam ni kitu gani?Beam ni Mkanda wa zege + nondo uliopo chini ya mlango na dirisha wakati lintel ni ni Mkanda wa zege + nondo Ambao Upo juu ya dirisha na mlango
Ungetufafanulia zaidi ingependeza zaidi mtaalamMleta mada nakupongeza kwa kuipenda kazi yako. Ila nakuomba pia uwe unatumia ushauri wa wataalamu wa ujenzi. Namaanisha uchote maarifa kwa Architects, Engineer na Quantity Surveyor. Mie nimesoma ujenzi na nimepitia maelezo yako naona kama hayajajitosheleza pengine ni kutokana na ufahamu wa kitaalamu. Kwa mfano, nyumba sio lazima iwe na ground beam, kuna sababu hupelekea iwepo au isiwepo.kwa hiyo wakati mwingine mnaongezea gharama za ujenzi zisizokuwa za lazima kwa kigezo/kauli mbiu ya nyumba imara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako hakuna haja ya kumwaga zege kabla ya kuanza kujenga msingi ikiwa umetanguliza kumwaga mchanga nchi 3?Yaah n kwel kabisa, hapo kwenye kumwaga zege chini wakat wa kuanza msingi huwa mafund wengi wamekariri tu ila ukwel ni,kuwa kutanguliza mchanga angalau inch 3 hv ni bora zaid kulko hyo zege..
Mafund wanaongezaga garama tu il wanufaike, ila profeessionally hamna mantik yoyote
Kuna materials aina ngapi za kutandika kwenye msingi kabla ya kuanza kujenga boma?B
Unatandkka Kwenye Msingi kabla hujaanza kupandisha tofali. Hii husaidia kuzuia unyevu kutoka chini kuathiri ukuta. Je, Umewahi kuona rangi Kwenye kuta zinabanduka?
Vipi kuhusu gharama za umeme?Boss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.
Overhang ya bati ni nini na inatakiwa iweje kivipimo?hiyo pekee haitaweza kuzuia unyevu ikiwa overhang za bati ni fupi yaan hazimwag maji mbali na hili ndio tatizo kubwa sema mafundi hawajui
Ground beam ni nini?Kuna kitu nmeona kinajadiliwa hapa kuhusu ground beam, wengi wanasema eneo lenye kichanga halihtji ground beam, lakini kama ukifanya soil investigation kawaida ya hali ya udongo huwa inabdlika kulingana na mda.. Pia udongo huwa ina tabia ya kujongea. Eneo unalojenga wewe inawezekana kukwa na mchanga lakini mita 10 toka ulipo kukwa na udongo wa aina nyingine,
Nini umuhimu wa ground beam..
Kazi kubwa ya ground beam n kuzuia un equally settlements (kutitia kwa nyumba kusikokua sawa) unapoeka mkanda au ground beam unafanya nyumba yako ititie kwa pamoja hvo kuzuia nyufa zisitokee kwenye nyumba..
Ushauri wangu ni muhimu kueka ground beam regardless ya aina udongo sababu tabia ya udongo huwa haitabadiliki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujadili
Ndio mkuu, Nitajibu yote
Bati inayotekeza nje ya ukuta
Sijakuelewa vizuri,Kuna materials aina ngapi za kutandika kwenye msingi kabla ya kuanza kujenga boma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maximum ni tofali 70 za kusimama.Naomba kujua:-
1. mfuko mmoja cement ya kawaida unawezajengea tofali ngapi kupandisha boma kwa kutumia tofali za block za nchi 5?
2.Naomba pia kujua mfuko mmoja cement ya kawaida unawezajengea tofali ngapi za msingi za block za nchi 6?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida iko wapi? au sijafafanua vizuri?
Hiyo overhang inatakiwa iweje kivipimo?Bati inayotekeza nje ya ukuta View attachment 1013845
ThanksMaximum ni tofali 70 za kusimama.
Msingi maximum ni tofali 40. Jambo la mhimu ni kuzibgatia consistency ya mota
Namaanisha ile sheet inayatandikwa kati ya msingi na ukuta. Inaweka baada ya kumaliza kujenga msingi kabla ya kuanza kujenga boma na ni nyeusi nyeusi ina kama tabaka ya lami kwa njeSijakuelewa vizuri,
Ulimaanisha za kuzuia unyevu?