Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #61
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu
Apo kwenye matumizi ya nylon naomba udadavue kidogo,Nylon ni kwaajili ya kuzuia unyevunyevu.
Unatandkka Kwenye Msingi kabla hujaanza kupandisha tofali. Hii husaidia kuzuia unyevu kutoka chini kuathiri ukuta. Je, Umewahi kuona rangi Kwenye kuta zinabanduka?apo kwenye matumizi ya nylon naomba udadavue kidogo,
Tujadili
Samahani mkuu naomba niingilie mada yakoBeam ni Mkanda wa zege + nondo uliopo chini ya mlango na dirisha wakati lintel ni ni Mkanda wa zege + nondo Ambao Upo juu ya dirisha na mlango
😂😂😂😂😂Unamuita fundi My unatafuta uchumba hapa kisa umesikia ni fundi mzuri.
Shenzi kabisa...
Tujadili
Mbona mmeanza kutuchanganya ?Samahani mkuu naomba niingilie mada yako
Beam yapasa kutamkwa Ring beam
Hivyo tofauti ya linter ni zege lenye chuma ila linawekwa kwenye uwazi wa milango ,madirisha na n.k
Na ring beam ni zege lenye chuma ila linawekwa kwenye mzunguko wa jengo lote
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida nini boss?
Boss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.We muongo mafundi wote mnajenga na kutindua, kuhusu chimney inahitajika kwenye majiko yote popote sio lazima kuwe na baridi, sema hamjui lakini sio kusingizia baridi.
Architecture anachora nyumba haweki chimney, ok unawrza kusema ni kazi ya structure engineer lakini naye haweki.
Masaki zile nyumba zilijengwa na wazungu zina chimney, wao hawana joto pale?!
Vyovyote utakavyoiita kitchen ventilation au chimney kwanini wachoraji wa ramani hawaziweki? Structure engineer pia hawaweki nani aweke?!Unapika, ndani moshiBoss jaribu kufanya utafiti kidogo, hizo nyumba zenye chimney mara nyingi huwa wanatumia kuni as a source of energy, sasa kwa nyumba zetu hizi nani anatumia kuni ndani!?, nafikiri zile kitchen ventilation za umeme ndio zinatufaa zaidi ya traditional chimneys.
Boss shida yako ni nini, mtu ndani ana jiko la gas, je huo moshi utatokea wapi, ndio maana nakuambia kwa nyumba zetu hizi za kibongo, air vent ndio mzuri na kuhusu mchora ramani kuiweka kwenye plan sio kitu cha ulazima, mbona mfumo wa umeme hauwekwi pamoja na mchoro wa nyumba!?.Vyovyote utakavyoiita kitchen ventilation au chimney kwanini wachoraji wa ramani hawaziweki? Structure engineer pia hawaweki nani aweke?!Unapika, ndani moshi
Nimekusoma ndugu hapa tuwe makini.Tusipende kukimbilia kununua nyumba wakati hujui ilijengwa kwa viwango vipi.
👏Nimekusoma ndugu hapa tuwe makini
Uko sahihi sana nadhani ni kijana mwenye nia nzuri na anayependa na kujali kazi yake,Mleta mada nakupongeza kwa kuipenda kazi yako. Ila nakuomba pia uwe unatumia ushauri wa wataalamu wa ujenzi. Namaanisha uchote maarifa kwa Architects, Engineer na Quantity Surveyor. Mie nimesoma ujenzi na nimepitia maelezo yako naona kama hayajajitosheleza pengine ni kutokana na ufahamu wa kitaalamu. Kwa mfano, nyumba sio lazima iwe na ground beam, kuna sababu hupelekea iwepo au isiwepo.kwa hiyo wakati mwingine mnaongezea gharama za ujenzi zisizokuwa za lazima kwa kigezo/kauli mbiu ya nyumba imara
Sent using Jamii Forums mobile app