Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #81
Gharama inategemeana na ukubwa wa Jengo, aina ya udongo unapojenga, Kuna slop au tambalale na mkoa unaojenga.Vipi kuhusu kujenga ghorofa?
Nazungumzia kuhusu msingi za slab na nguzo. Gharama, utaalamu wa kuzingatia, faida?
Kifupi kabisa natamani kujua mambo muhimu ya kuzingatia katika kupunguza gharama, kuepuka makosa na mbinu nzuri za ujenzi wa nyumba ya kawaida ya makazi ya ghorofa.