Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

Huko kwenye mambo ya kihuni huni !! Unahesabu ushindi..be serious!!

Huo uhuni ndo bao la mkono mpaka nyumba nyeupe,, mbona upinzani wasiuzuie kama wana nguvu?

kama kwa dogo wameshindwa kubwa wataweza?

Labda utokee sijui muujiza gani kwa upinzan ila CCM inaenda kushinda kwa kishindo, upinzan wakipata hata wabunge wawili tu wamshukuru Mungu
 
Jiwe lazima atakuwa amekosea kujaza fomu ,kwanza fomu zenyewe amejaziwa akikatwa aliyemjazia fomu atakoma .
 
Tatizo Ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi, kauli Kama hizi tunazisikia Sana, na baadae hatuoni mkuyafanya.Hivyo sisi tunawaona Kama wapambanaji nyuma ya keyboard tu.
Kuna kisa cha baba mmoja kijiji Fulani alikuwa na mazoea ya kupiga kelele jamani kuna simbaa, wanakijiji wakija na silaha anasema ahaa kumbe mnajali. Mazoea yaliendelea kwa muda mpaka pale simba wa kweli alipofika siku moja nyumbani kwake na zile kelele anazopigaga hazikuzaa matunda sababu ya mazoea.
 
Huu mtego wa kumpa mgombea mwenza wa nafasi kama yako uwezo wa kukueliminate ni hatari kuliko hata tume yenyewe!!

Umezungumza jambo la maana sana! Na hasa kama unaueshindana nae ndie mteuzi wa Mkurugenzi wa Uchaguzi na Msajili wa vyama vya siasa!!

Ifike mahali wagombea wote wawe kwenye fair playing field!! Mgombea mmoja kuwa juu ya wagombea wenzake na pia juu ya wanaoweza kuweka mapingamizi sio sawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…