antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Wacha agombee tu anyolewe kwa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenye mambo ya kihuni huni !! Unahesabu ushindi..be serious!!
Mimi na nyumba yangu tutamuunga mkono. Nashawishi na wengine wote walio karibu nami wafanye hivyo akiwemo mpenzi WakudadavuwaTumuunge mkono
Jiwe lazima atakuwa amekosea kujaza fomu ,kwanza fomu zenyewe amejaziwa akikatwa aliyemjazia fomu atakoma .Kwa nafasi yake na kwa kujiamini kwake, yuko katika hatari ya kufanya makosa kuliko wagombea wengine wote kwani anaweza kuchukulia mambo kirahisi tu akiamini hakuna wa kumfanya kitu akasahau this time tuna mpinzani wa kweli na makini.
Lissu akipitia mchakato wake,sidhani kama hatokuta makosa na kibaya wanaopaswa kumwambia umekosea hapa na pale, wanaweza wasimwambie ama kwa kumuogopa au kwa kuamini hakuna wa kumfanya kitu/kumzuia..
Hata wale wagombea wengine nao kwa kujua hawana nafasi bali wanasindikiza tu,wanaweza pia wasiwe makini sana katika mchakato mzima na hivyo na wao kujikuta wamefana makosa.
Hili ni jambo lilinijia kichwani mwangu tangu jana niliposikia Lissu akisema usiku wa kuamkia leo anakwenda kuangalia kama wagombea wengine nao wametimiza taratibu na saa hizi zimeshaanza tetesi mitandaoni kuhusu hilo hivyo wacha tusubiri.
Bahati mbaya hakuna haki ya kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Tume.
Time will tell.
Inaonekana hujawahi kutana na tembo anayesikia kelele za maji wakati hakuna mto.Kelele za maji hazimtishi tembo kunywa vyura
Kuna kisa cha baba mmoja kijiji Fulani alikuwa na mazoea ya kupiga kelele jamani kuna simbaa, wanakijiji wakija na silaha anasema ahaa kumbe mnajali. Mazoea yaliendelea kwa muda mpaka pale simba wa kweli alipofika siku moja nyumbani kwake na zile kelele anazopigaga hazikuzaa matunda sababu ya mazoea.Tatizo Ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi, kauli Kama hizi tunazisikia Sana, na baadae hatuoni mkuyafanya.Hivyo sisi tunawaona Kama wapambanaji nyuma ya keyboard tu.
Hacha uongo
Majina ya wadhamini wa Lisu hayakuhakikiwa na wasimamizi wa majimbo, hivyo ilibidi time uhakiki jina moja
Uongo wa nini sasa
Huu mtego wa kumpa mgombea mwenza wa nafasi kama yako uwezo wa kukueliminate ni hatari kuliko hata tume yenyewe!!